Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti Mtopa wa CCM awapa somo vijana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Lindi Ali Mtopa amewataka vijana wa chama hicho kuwaambia wananchi ukweli kwamba serikali ya chama hicho imeweka mazingira mazuri ya miundombinu ambayo yamewezesha wananchi wa mji wa Lindi kupata huduma za maji na barabara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NIKKI WA PILI AWAPA SOMO VIJANA

Nyota wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’. NYOTA wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameibuka na kuwapa somo vijana kwamba wanatakiwa kutumia changamoto wanazopitia katika maisha na kuwa mafanikio kuliko kukaa na kulaumu. kipiga stori na Risasi Vibes, Nikki wa Pili anayebamba na Ngoma ya Baba Swalehe alisema, vijana wengi wamekuwa na dhana kwamba...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Joel Bendera awapa somo askari vijana

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka askari vijana nchini kutumia muda wao kubuni njia rahisi ya kukuza uchumi kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao badala ya kufanya uovu....

 

11 years ago

Michuzi

CHIKAWE AWAPA SOMO VIONGOZI WA CCM NACHINGWEA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Namikango, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi leo. Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuwa na umoja ili kukipa nguvu chama chao hasa katika kipindi hiki wanapoelekea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo kila mwanachama wa chama hicho alisisitizwa kuchukua fomu wakati muda utakapofika wa kuchukua fomu hizo. Uchaguzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWAPA SOMO MAKATIBU KATA CCM NACHINGWEA, MKOANI LINDI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makatibu Kata wa CCM, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi leo. Katika mazungumzo hayo yaliyojumuisha Makatibu Kata zaidi ya 30, Waziri Chikawe aliwataka viongozi hao kuhakikisha wanazunguka katika kata zao kuhakikisha wanawahamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya maandalizi ya kuipigia kura Katiba inayopendekezwa pamoja na Uchaguzi Mkuu wa Rais,...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA VIJANA CHADEMA NA VIJANA MIA MOJA KATA YA ORTURUMENTI WILAYA YA ARUMERU WAHAMIA CCM

 picha ikionyesha baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na CCM, wakila kiapo, katikati ni aliyekuwa Mwenyekiti  wa Vijana CHADEMA kata ya Orturumenti Thomasi Kivuyo.  Mwenyekiti wa vijana chadema kata ya Orturumenti akiwa anatoa mkono kwa katibu wa siasa uenezi Jonasi Kitoro mara baada ya kukabidhiwa kadi ya ccm

Na Woinde Shizza,Arusha


Jumla ya wananchi 100 wa kata ya Ortumunti  wilayani Arumeru  kutoka katika vyama mbalimbali vya upinzani  wamehamia chama cha Mapinduzi akiwemo...

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana CCM Iringa wamkingia kifua mwenyekiti

Vijana wa CCM wanaomuunga mkono mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu anayetuhumiwa kukihujumu kwenye Uchaguzi Mkuu, wamemhakikishia ulinzi na kutowatambua wenzao wanaompinga.     

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge awapa somo wazazi

MBUNGE wa Morogoro Mjini, Aziz Abood ametoa mwito kwa wananchi kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za mahitaji ya watoto wao na kuacha tabia ya kutumia fedha bila uangalifu.

 

11 years ago

Habarileo

RC awapa somo wabunge wa Dar

WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Lyamuya awapa somo wanahabari

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujua maadili ya utumishi wa umma na sera za afya, ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya jamii na sekta hiyo. Wito huo ulitolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani