Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa viongozi Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewaasa viongozi wa nchi za Afrika kutumia rasilimali walizonazo na fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. Sumaye alitoa wito huo jana nchini Marekani, katika Chuo Kikuu cha Elizabeth...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa waliomo kwenye ndoa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amewashauri waliomo kwenye ndoa kuvumiliana katika mambo mbalimbali ili kuepuka chuki inayoweza kusababisha mauaji. Sumaye alisema hayo juzi mjini...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI AWAASA VIJANA KUPAMBANA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya akiongea
wakati wa uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya karume jijini Dar
es Saalam. Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Prof
Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel
 Rising Stars katika ngazi ya taifa.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama awaasa vijana kuhusu Ubaguzi

Rais Obama amewaomba vijana wawe wakakamavu katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lakini pia wavumulivu kwani mageuzi hayapatikani kwa urahisi.

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA AWAASA VIJANA KUACHA ‘KUDENDEKA’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizindua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Stori: Gladness Mallya
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik amewaasa vijana kuacha tabia ya kudendeka kwani inasababisha ugonjwa wa homa ya ini. Mheshimiwa Saidi aliyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni ya homa ya ini iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Amana ambapo aliwataka vijana...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye awanoa vijana

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick SumayeWAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka, lakini pia wanaoamini watakuwa suluhisho ya kero nyingi walizonazo wananchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awapa ushauri vijana

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao. Sumaye alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye aasa vijana kulinda amani

Frederick SumayeWAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewataka vijana kote nchini kuwa mstari wa mbele kulinda amani, usalama na utulivu wa nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kukemea siasa za chuki kwani mfumo uliopo ni mfumo wa vyama vingi, hivyo kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kabaka awaasa wanahabari

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amezitaka timu za vyombo vya habari kuzingatia nidhamu ya ndani na nje ya uwanja kwenye michuano ya kombe la mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani