Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama awaasa vijana kuhusu Ubaguzi

Rais Obama amewaomba vijana wawe wakakamavu katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lakini pia wavumulivu kwani mageuzi hayapatikani kwa urahisi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Obama atahadharisha vijana kuhusu Ubaguzi.

Rais Obama amewaomba vijana wawe wakakamavu katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lakini pia wavumilivu kwani mageuzi hayapatikani kwa urahisi.

Kauli yake inajiri wakati maandamano yakiendelea Washington, New York na Berkeley dhidi ya uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama kutomshtaki maafisa wa polisi wazungu waliohusishwa na vifo vya wanaume wenye asili ya Kiafrika.

Maandamano yamekuwa yakifanyika katika miji mikubwa kulalamika ubaguzi wa rangi nchini humo

Katika mahojiano kwenye televisheni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

Watu weusi nchin Urusi wameiambia BBC jinsi ubaguzi wa rangi ulivyoyaathiri maisha yao

 

10 years ago

Mwananchi

Obama ameshindwa kuondoa ubaguzi wa rangi Marekani

Waingereza wanao msemo na tafsiri yake isiyo rasmi ni kuwa: ‚Watu wanaoishi katika nyumba za vioo inawabidi wasirushe mawe.‘ Ina maana kwamba watu wachukue tahadhari, si kupurukuka tu kulaumu vitendo vya watu wengine ambavyo wao wenyewe wanavifanya. Kufanya hivyo ni unafiki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI AWAASA VIJANA KUPAMBANA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya akiongea
wakati wa uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya karume jijini Dar
es Saalam. Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Prof
Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel
 Rising Stars katika ngazi ya taifa.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA AWAASA VIJANA KUACHA ‘KUDENDEKA’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizindua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Stori: Gladness Mallya
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik amewaasa vijana kuacha tabia ya kudendeka kwani inasababisha ugonjwa wa homa ya ini. Mheshimiwa Saidi aliyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni ya homa ya ini iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Amana ambapo aliwataka vijana...

 

5 years ago

BBCSwahili

Beyonce azindua kibao kuhusu ubaguzi wa rangi

Mwanamuziki Beyoncé amezindua wimbo wa Black Parade masaa kdhaa baada ya kutangaza mpango wa kusaidia biashara zinazomilikiwa na watu weusi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Yaliyosemwa na watu kuhusu ubaguzi wa rangi wakati wa maandamano

Yaliyosemwa na watu mashuhuri kuhusu ubaguzi wa rangi wakati maandamano yakiendelea duniani

 

10 years ago

Michuzi

Elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawafikia Vijana wa Mbeya Vijijini

Na Genofeva Matemu – Maelezo, Mbeya
Vijana wa Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini wametakiwa kutokuwa na tafsiri hasi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kuwa ni takrima inayotolewa na serikali kwa vijana hivyo kuchezea fedha hizo na kushindwa kurejesha mkopo watakaouomba kupitia mfuko huo.
Hayo yamesemwa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wakati wa semina iliyotolewa kwa Vijana wa Mbeya Vijijini kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Stadi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani