Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI AWAASA VIJANA KUPAMBANA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya akiongea
wakati wa uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya karume jijini Dar
es Saalam. Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Prof
Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel
 Rising Stars katika ngazi ya taifa.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama awaasa vijana kuhusu Ubaguzi

Rais Obama amewaomba vijana wawe wakakamavu katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi lakini pia wavumulivu kwani mageuzi hayapatikani kwa urahisi.

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA AWAASA VIJANA KUACHA ‘KUDENDEKA’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizindua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Stori: Gladness Mallya
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik amewaasa vijana kuacha tabia ya kudendeka kwani inasababisha ugonjwa wa homa ya ini. Mheshimiwa Saidi aliyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni ya homa ya ini iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Amana ambapo aliwataka vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe awaasa waimbaji wa nyimbo za injili nchini kuwa chachu ya amani na uadilifu nchin

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb.) amezindua albamu mbili za nyimbo za injili zinazokwenda kwa majina ya "Pisha Mbele" na "Ni Ujumbe wa Bwana" za mwimbaji Mercy Nyagwaswa katika hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza uliopo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi, 2015. Askofu Mstaafu na Baba mzazi wa Mercy Askofu Nyagwaswa (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Mchungaji David Mangoti (wa pili kulia) na Balozi Mstaafu Costa Mahalu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana wa Kitanzania waungana kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi malengo ya 17 ya (SDGs)

TABIA NCHI EMkurugenzi wa Asasi ya Mazingira, Elisha Sibale amesema  kuwa vijana wanawajibu wa kuleta mabadiliko chanya katika mabadiliko ya tabianchi kutokana na kuwa sehemu ya kubwa ya kuweza kuingia katika ajenda hizo.

Na Andrew Chale, modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Vijana nchini wametakiwa kuchukua hatua ya kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa vitendo huku wakiombwa kuungana  katika harakati za kupambana na Mabadilikio  hayo ilikufanya idadi kubwa ya watu katika utekelezaji wa malengo mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJINI AHAIDI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA

Mgombea ubunge wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM)    Silvestry Koka akiwahutubia wananchi wa kata kongowe pamoja na boko timiza katika moja ya mkikutano yake ya hadhara.Mgombea ubunge kupitia CCM jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka akiwa anawasali  na kupokelewa kwa shangwee  katika uwanja kabla ya kuanza kuwahutubia wawananhci walijitokeza na kufurika kwa wingi kusikiliza sera za mgombea huyo.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri asifu MKUZA kupambana na umasikini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Dk Mwinyihaji Makame Mwadini amesema wananchi wameanza kuufahamu Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupambana na Umasikini (MKUZA), ambao umepata mafanikio makubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani