Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri asifu MKUZA kupambana na umasikini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Dk Mwinyihaji Makame Mwadini amesema wananchi wameanza kuufahamu Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupambana na Umasikini (MKUZA), ambao umepata mafanikio makubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni zinafifisha ndoto ya kupambana na umasikini

BAADA ya kutafakari kwa muda juu ya mchakato wa Katiba mpya ulivyokuwa ukiendeshwa, pamoja na mambo yote yaliyotokea lakini tunahitaji kuangalia suala la mfumo ambao unasababisha matatizo mengi ya kijamii...

 

9 years ago

StarTV

Watu wenye uwezo watakiwa kuisaidia Serikali Kupambana Na Umasikini

Watu wenye uwezo wa kifedha wameaswa kujitoa kuisaidia serikali katika kupambana na janga la umasikini nchini ikiwa pamoja na kuwainua kiuchumi baadhi ya wananchi wasiojiweza kimaisha.

Rai hiyo imetolewa katika hafla ya kuwatunuku shahada ya uzamivu baadhi ya watendaji wa serikali pamoja na Baadhi ya watu wanaofanya kazi kiroho iliyofanyika Jijini Mwanza.

Chuo cha Africa Graduate University, makao makuu yake  nchini Sierra Leone limejikita mkoani Mwanza Kutunuku vyeti Vya heshima shahada ya...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII,TASAF NA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA UMASIKINI NCHINI.

Afisa kutoka TASAF makao makuu Bw. Geodfrey Nyamwihula akisisitiza jambo kwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini katika shehia ya Bandamaji wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati walengwa wa mpango huo walipopewa mafunzo ya namna ya kuibua miradi ya ujenzi PWP ambayo ni moja ya jitihada za serikali kupitia TASAF kuongeza pato la kaya husika .
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza zoezi la kuwashirikisha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kuibua miradi ya Ujenzi PWP...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri asifu uzalishaji mali JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema kazi za uzalishaji mali zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), zimetoa hamasa kwa vijana wengi kujiunga na mafunzo yanayotolewa na jeshi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri wa Afrika Kusini asifu Kambi ya Makutupora

NAIBU Waziri wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathimini Ofisi ya Rais, Jamhuri ya Afrika Kusini, Obeid Bapela amesifia juhudi zinazofanywa na vijana wa kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Makutupora mkoani hapa kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka asifu kazi inayofanywa na Shirika la Nyumba (NHC)

1

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.

2

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na baadhi ya viongozi wa shirika la nyumba nchini NHC baada ya kuwasili kwenye banda hilo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bayi awashukuru majirani Mkuza

MKURUGENZI wa Shule za Filbert Bayi, Anna Bayi, amewashukuru wakazi wa Kwamatiasi, Mkuza Kibaha mkoani Pwani kwa msaada wao mkubwa walioutoa wakati wa tukio la kuungua moto kwa shule ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE


Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI AWAASA VIJANA KUPAMBANA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Beatrice Singano Mallya akiongea
wakati wa uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya karume jijini Dar
es Saalam. Naibu katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Prof
Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel
 Rising Stars katika ngazi ya taifa.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani