Waziri asifu uzalishaji mali JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema kazi za uzalishaji mali zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), zimetoa hamasa kwa vijana wengi kujiunga na mafunzo yanayotolewa na jeshi hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT KUSHIRIKI MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.
11 years ago
Habarileo06 May
Waziri asifu MKUZA kupambana na umasikini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Dk Mwinyihaji Makame Mwadini amesema wananchi wameanza kuufahamu Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupambana na Umasikini (MKUZA), ambao umepata mafanikio makubwa.
10 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI ARUSHA NA KILIMANJARO
11 years ago
Habarileo29 Mar
Waziri wa Afrika Kusini asifu Kambi ya Makutupora
NAIBU Waziri wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathimini Ofisi ya Rais, Jamhuri ya Afrika Kusini, Obeid Bapela amesifia juhudi zinazofanywa na vijana wa kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Makutupora mkoani hapa kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.
5 years ago
MichuziSIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura, wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka asifu kazi inayofanywa na Shirika la Nyumba (NHC)
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felix Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na baadhi ya viongozi wa shirika la nyumba nchini NHC baada ya kuwasili kwenye banda hilo...
5 years ago
CCM BlogKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKABIDHI MALORI MATATU KATIKA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA
Akizungumza katika makabidhiano ya magari hayo leo Juni 1, 2020 jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee amesema kuwa kwa...
5 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(Kushoto) akikabidhi funguo za malori mapya kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina leo Juni 1, 2020 katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...