WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI ARUSHA NA KILIMANJARO
Mkuu wa Magereza Mkoani Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Hamis Nkubas akifanya mahojiano maalum Ofsini kwake na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya Habari vya Habari Leo, Daily News, Michuzi Media na Gazeti la Tanzania Daima. Waandishi haowameanza ziara leo Desemba 15, 2014 ambapo watatembelea katika miradi mbalimbali ya uzalishaji mali inayotekelezwa kwa mafanikio na Jeshi la Magereza.
Viti vya Ofisi ambavyo vimetengenezwa katika Kiwanda cha Samani Arusha cha Jeshi la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKABIDHI MALORI MATATU KATIKA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA

Akizungumza katika makabidhiano ya magari hayo leo Juni 1, 2020 jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee amesema kuwa kwa...
5 years ago
Michuzi
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...
10 years ago
Michuzi06 Jun
MAZISHI YA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA YAFANYIKA OLD MOSHI MKOANI KILIMANJARO


10 years ago
MichuziKWIECO YATOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI KILIMANJARO...
10 years ago
Michuzi
WAKUU WA TAASISI ZA MAGEREZA KUTOKA NCHI ZA AFRIKA WATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA GEREZA KUU KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO


11 years ago
Michuzi
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO

11 years ago
Vijimambo
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO

10 years ago
Vijimambo
UZALISHAJI WA MIFUGO KATIKA MASHAMBA YA JESHI LA MAGEREZA WAONGEZEKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI

10 years ago
Michuzi
WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA WATEMBELEA ESTONIA