Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA WATEMBELEA ESTONIA

Na Geofrey Tengeneza Waandishi wa habari sita kutoka vyombo vya habari mbalimbali kutoka Tanzania wako ziarani chini Estonia kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo.  Lengo la ziara hiyo ni kutoa fursa kwa wandishi wa habari wa Tanzania kujifunza na kujionea shughuli mbali mbali katika sekta za teknolojia ya mawasiliano , elimu, utalii, afya n.k. ili kuandikia habari hizo n chini Tanzania. Katika siku mbili za mwanzo za ziara hiyo ya siku tano, waandishi hao kutoka Tanzania tayari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI ARUSHA NA KILIMANJARO

Mkuu wa Magereza Mkoani Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Hamis Nkubas akifanya mahojiano maalum Ofsini kwake na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya Habari vya Habari Leo, Daily News, Michuzi Media na Gazeti la Tanzania Daima. Waandishi haowameanza ziara leo Desemba 15, 2014 ambapo watatembelea katika miradi mbalimbali ya uzalishaji mali inayotekelezwa kwa mafanikio na Jeshi la Magereza.Viti vya Ofisi ambavyo vimetengenezwa katika Kiwanda cha Samani Arusha cha Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe

IMG_2921Waandishi wa habari kutoka Tanzania waliosafirishwa na Shirika la ndege lenye gharama nafuu nchini Fastjet kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Shanganai yanayoendelea nchini Zimbabwe. Kutoka kushoto ni Timothy Kitundu (East Africa Business Week), Mariam Said (Daily News) pamoja na Justin Damiana (The African) wakiwa wameketi kwenye mapango ya Chinhoyi huku wakibadilishana mawazo na wadau wa utalii kutoka Afrika Kusini.IMG_3430Kutoka kushoto ni Victoria Siphiwe Mamvura Gava, Cherry Sibanda...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

GPL

FASTJET YAFADHILI ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE‏

Pichani ni Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika mapango Chinhoyi.(Picha zote na Zainul Mzige). Mungoza watalii katika mapango ya Chinhoyi katika mkoa wa Chinhoyi nchini Zimbabwe, Aleck Makumire akitoa maelezo wa timu ya waandishi wa habari...

 

10 years ago

Vijimambo

LUDENGA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SAKATA LA UMRI MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari muda huu juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto)
Alipotangazwa mshindi, Miss Tanzania 2014, Sitti, ambaye ni binti wa mbunge wa jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, alivikwa taji na mtangulizi wake Happyness Watimanywa, Miss Tanzania 2013.

Kufikia taji hilo la Miss Tanzania,2014 Bi...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA- UTPC MJINI MOROGORO


Hapa ni katika ukumbi wa Flomi Hotel mjini Morogoro ambako leo Ijumaa Novemba 06,2015 kunafanyika mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC wanakutana kujadili mambo mbali mbali ili kuboresha taaluma ya uandishi wa habari nchini Tanzania.Mkutano huo wa siku mbili unakutanisha wenyeviti wa klabu za waandishi wa habari Tanzania,makatibu na waweka hazina.Katika mkutano huo pia utafanyika uchaguzi wa rais wa UTPC na wajumbe wa bodi wa UTPC-Fuatilia picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani