Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Afrika Kusini asifu Kambi ya Makutupora

NAIBU Waziri wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathimini Ofisi ya Rais, Jamhuri ya Afrika Kusini, Obeid Bapela amesifia juhudi zinazofanywa na vijana wa kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Makutupora mkoani hapa kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK asifu ushirikiano TZ na Afrika Kusini


NA MWANDISHI WETU
RAIS  Jakaya  Kikwete amesifu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini na kwamba haujawahi kuwa mzuri kama ilivyo sasa.
Amesema ni muhimu kwa Afrika Kusini kuendelea kuonyesha uongozi mzuri katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika kwa sababu kwa kufanya hivyo,Afrika Kusini itakuwa inatimiza jukumu lake la kihistoria.
Rais Kikwete aliyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akiagana na Balozi wa Afrika Kusini hapa Tanzania , Thanduyise Henry Chiliza...

 

9 years ago

Bongo5

Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini

Kayumba akikabidhiwa zawadi kutoka kwa wadhamini wa shindano hilo.

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.

Kayumba Juma

Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.

Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Chabane afariki Afrika Kusini

Waziri Collins Chabane na rafiki mkubwa wa Rais Zuma afariki kwenye ajali ya gari

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri wa Afrika Kusini awakera wakenya

Waziri wa michezo Fikile Mbalula amekemewa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa matamshi yake kuhusu wanariadha wa Kenya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri akataa ombi la mfalme wa Afrika Kusini

Waziri wa haki wa Afrika Kusini amefutilia mbali ombi la kutaka kesi inayomkabili mfalme wa jamii ya Nelson Mandela ya Thembu isikizwe upya.

 

10 years ago

GPL

VURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO

Na Denis Mtima / GPL WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (pichani) ametoa tamko kuhusiana na Watanzania waliopo nchini Afrika Kusini. Waziri Membe amesema Watanzania 21 watarejeshwa nchini kutokana na vurugu zinazoendelea za wenyeji kuwashambulia wageni huko Afrika Kusini. Aidha, Membe ameongeza kuwa Watanzania watatu wamefariki kwa maradhi lakini si kuuawa katika vurugu hizo, hivyo hakuna mtu...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA MKUTANO WA MAWAZIRI, NCHINI AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kulia) katika Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana na Taasisi za Urekebishaji. Mkutano huo ulioudhuriwa na mawaziri kutoka nchi mbalimbali barani Afrika unafanyika jijini Pretoria, nchini Afrika Kusini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani