Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA MKUTANO WA MAWAZIRI, NCHINI AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kulia) katika Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana na Taasisi za Urekebishaji. Mkutano huo ulioudhuriwa na mawaziri kutoka nchi mbalimbali barani Afrika unafanyika jijini Pretoria, nchini Afrika Kusini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WAKUPAMBANA NA VURUGU NA UGAIDI, WASHINGTON MAREKANI

Rais wa Marekani, Barack Obama akitoa hotuba yake katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Loy Henderson, Wizara ya Mambo ya Nje, jijini Washington DC nchini humo leo. Mkutano huo uliowashirikisha Mawaziri wanaoshughulika na masuala ya usalama kutoka mataifa mbalimbali duniani, Maafisa Waandamizi wa Umoja wa Mataifa (UN), Vyama vya Kiraia na Sekta Binafsi ulijadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupambana na ugaidi pamoja na vurugu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 3 wa wakuu wa nchi za Afrika mashariki (EAC) jijini Nairobi, Kenya

9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa 3  tatu wa wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu miundombinu, uliofanyika katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi jana  Novemba 29, 2014. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI


Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa  Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUHUSU MIUNDOMBINU JIJINI NAIROBI, KENYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wa tatu kutoka (kushoto) Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, (kushoto kwake) Makamu wa Rais kwanza wa Burundi, (kulia kwake) wakijumuika kwa pamoja na viongozi  wengine wakionyesha Taarifa ya pamoja waliyoisaini kuhusu majadiliano ya kuimarisha Miundombinu kwa nchi wanachama wa  Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika mkutano wa 3 wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu Miundombinu, uliofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2015. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC utakaofanyika tarehe 31 Mei, 2015, pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa zitakazowasilishwa na Jopo la Watu Maalum wanaofuatilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani