VURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO
Na Denis Mtima / GPL WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (pichani) ametoa tamko kuhusiana na Watanzania waliopo nchini Afrika Kusini. Waziri Membe amesema Watanzania 21 watarejeshwa nchini kutokana na vurugu zinazoendelea za wenyeji kuwashambulia wageni huko Afrika Kusini. Aidha, Membe ameongeza kuwa Watanzania watatu wamefariki kwa maradhi lakini si kuuawa katika vurugu hizo, hivyo hakuna mtu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...
10 years ago
Mwananchi20 Apr
VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini
10 years ago
MichuziWaziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Kuwait,Malawi,Kenya na Afrika Kusini
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI UTAMBULISHO KUTOKA MABALOZI WA KUWAIT,MALAWI,AFRIKA KUSINI NA KENYA
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini.

Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia...
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Vurugu Afrika Kusini zavuka mipaka
Durban, Afrika Kusini
LICHA ya Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kulaani vurugu zinazoendelea nchini humo dhidi ya wageni (xenophobia), vurugu hizo zimezidi kupamba moto na sasa zimevuka mipaka ya nchi hiyo.
Wakati vurugu zikiendelea kwa wenyeji kuvamia na kuiba kwenye maduka ya raia wa kigeni katika hali ambayo imeonesha kama ni kulipa kisasi, raia wa Afrika Kusini wanaoishi na kufanya biashara katika nchi za Msumbiji na Zimbabwe siku nzima ya jana baadhi yao wameanza kushambuliwa.
Taarifa...
10 years ago
CloudsFM13 Feb
VURUGU ZA ZUKA BUNGENI AFRIKA KUSINI
Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF...