Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Benard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari nchini kuhusiana machafuko yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini. Mkuu wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (wa kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Joseph Sokoine (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Mhe. Modest Mero wakimsikiliza Waziri Membe (hayupo pichani) alipokuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Bernard Membe akitoa tamko. …Akisisitiza jambo. Sehemu ya wanahabari na wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo. WAZIRI wa  Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard…

 

10 years ago

Michuzi

HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...

 

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

10 years ago

GPL

VURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO

Na Denis Mtima / GPL WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (pichani) ametoa tamko kuhusiana na Watanzania waliopo nchini Afrika Kusini. Waziri Membe amesema Watanzania 21 watarejeshwa nchini kutokana na vurugu zinazoendelea za wenyeji kuwashambulia wageni huko Afrika Kusini. Aidha, Membe ameongeza kuwa Watanzania watatu wamefariki kwa maradhi lakini si kuuawa katika vurugu hizo, hivyo hakuna mtu...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Kuwait,Malawi,Kenya na Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Malawi hapa nchini Mhe.Hawa Ndilowe leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Balozi mpya wa Afrika Kusini hapa nchini Mhe.Thamsanqa Dennis Msekelu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE APOKEA NAKALA ZA HATI UTAMBULISHO KUTOKA MABALOZI WA KUWAIT,MALAWI,AFRIKA KUSINI NA KENYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Malawi hapa nchini Mhe.Hawa Ndilowe leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Balozi mpya wa Afrika Kusini hapa nchini Mhe.Thamsanqa Dennis Msekelu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yawatimua wageni 400

Afrika Kusini imeanzisha operesheni ya kuwafurusha raia wa mataifa mengine ya Afrika kufuatia vurumai za kibaguzi zilizoibuka dhidi ya wageni katika taifa hilo hivi majuzi.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini.

Walengwa wakuu walikuwa Wanigeria, Wasomalia, Wachina, Watanzania 21 wakubali kurejeshwa nchini, wanaishi kambini.Wakati serikali ikitangaza kuwarejesha Watanzania 21 kati ya 23 walioko kwenye moja ya makambi yanayowahifadhi raia wa kigeni walioathirika na vurugu zilizohusisha mauaji, uporaji na watu kukimbia makazi nchini Afrika Kusini, Mtanzania aliyeko nchini humo, amesimulia jinsi raia wengi wa kigeni walivyoathirika.

Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani