Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini.

Walengwa wakuu walikuwa Wanigeria, Wasomalia, Wachina, Watanzania 21 wakubali kurejeshwa nchini, wanaishi kambini.Wakati serikali ikitangaza kuwarejesha Watanzania 21 kati ya 23 walioko kwenye moja ya makambi yanayowahifadhi raia wa kigeni walioathirika na vurugu zilizohusisha mauaji, uporaji na watu kukimbia makazi nchini Afrika Kusini, Mtanzania aliyeko nchini humo, amesimulia jinsi raia wengi wa kigeni walivyoathirika.

Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vurugu Afrika Kusini zadaiwa kuua Mtanzania

Dar es Salaam. Baadhi ya Watanzania wanaoishi Afrika Kusini wamedai kuwa mwenzao mmoja amefariki dunia kutokana na vurugu zinazoendelea nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...

 

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

11 years ago

Mwananchi

Utata kesi ya Mtanzania Afrika Kusini

Kesi ya Mtanzania Stephen Ongolo anayeshikiliwa na polisi Afrika Kusini akituhumiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Zuma (MaNtuli), imeibua mabishano ya kisheria ya kuhusu mahali anapotakiwa kushtakiwa.

 

10 years ago

GPL

MEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Bernard Membe akitoa tamko. …Akisisitiza jambo. Sehemu ya wanahabari na wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo. WAZIRI wa  Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard…

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI

Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na sie hatujambo huku Bondeni Sauzi.Maudhui ya barua hii ni kukufahamisheni kuwa kuna Mtanzania kwa jina Shukuru Goyagoya kafariki tarehe 16th mwezi huu katika Hospitali ya Baragwana Jo'burg.Alikua Kalazwa ICU takriban mwezi mmoja.
Hapa Sauzi alikuwa akiitwa kwa jina la umaarufu Jastice Mliambe Manesi kazaliwa mwaka 1970.
Maelezo niliyoweza kupata, Mama yake mzazi anaitwa  Bi Ziada Musa Kitima anaishi Mabibo CCM . Naomba msaada wenu wa kutangaza katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini:Vurugu zatanda Bungeni

Wapinzani wa Chama cha EFF watolewa nje ya Bunge la Afrika kusini kwa nguvu

 

10 years ago

CloudsFM

VURUGU ZA ZUKA BUNGENI AFRIKA KUSINI

Bunge la Afrika kusini liligeuka kuwa uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati na maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa nguvu na baadae wabunge wengine wa upanzani nao wakatoka nje ya ukumbi.
Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani