Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI

Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na sie hatujambo huku Bondeni Sauzi.Maudhui ya barua hii ni kukufahamisheni kuwa kuna Mtanzania kwa jina Shukuru Goyagoya kafariki tarehe 16th mwezi huu katika Hospitali ya Baragwana Jo'burg.Alikua Kalazwa ICU takriban mwezi mmoja.
Hapa Sauzi alikuwa akiitwa kwa jina la umaarufu Jastice Mliambe Manesi kazaliwa mwaka 1970.
Maelezo niliyoweza kupata, Mama yake mzazi anaitwa  Bi Ziada Musa Kitima anaishi Mabibo CCM . Naomba msaada wenu wa kutangaza katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

11 years ago

Mwananchi

Utata kesi ya Mtanzania Afrika Kusini

Kesi ya Mtanzania Stephen Ongolo anayeshikiliwa na polisi Afrika Kusini akituhumiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Zuma (MaNtuli), imeibua mabishano ya kisheria ya kuhusu mahali anapotakiwa kushtakiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini.

Walengwa wakuu walikuwa Wanigeria, Wasomalia, Wachina, Watanzania 21 wakubali kurejeshwa nchini, wanaishi kambini.Wakati serikali ikitangaza kuwarejesha Watanzania 21 kati ya 23 walioko kwenye moja ya makambi yanayowahifadhi raia wa kigeni walioathirika na vurugu zilizohusisha mauaji, uporaji na watu kukimbia makazi nchini Afrika Kusini, Mtanzania aliyeko nchini humo, amesimulia jinsi raia wengi wa kigeni walivyoathirika.

Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia...

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu Afrika Kusini zadaiwa kuua Mtanzania

Dar es Salaam. Baadhi ya Watanzania wanaoishi Afrika Kusini wamedai kuwa mwenzao mmoja amefariki dunia kutokana na vurugu zinazoendelea nchini humo.

 

10 years ago

GPL

MEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Bernard Membe akitoa tamko. …Akisisitiza jambo. Sehemu ya wanahabari na wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo. WAZIRI wa  Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania anayetesa Afrika Kusini kwa kuendesha baiskeli

Kati ya wanamichezo wa Tanzania waliofanikiwa kupitia michezo, hauwezi kuacha kumtaja mwendesha baiskeli, Richard Laizer anayeichezea timu ya Qhubeka Feeder ya nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Michuzi

HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Benard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari nchini kuhusiana machafuko yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini. Mkuu wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (wa kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Joseph Sokoine (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Mhe. Modest Mero wakimsikiliza Waziri Membe (hayupo pichani) alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani