Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye awaasa waliomo kwenye ndoa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amewashauri waliomo kwenye ndoa kuvumiliana katika mambo mbalimbali ili kuepuka chuki inayoweza kusababisha mauaji. Sumaye alisema hayo juzi mjini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa viongozi Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewaasa viongozi wa nchi za Afrika kutumia rasilimali walizonazo na fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. Sumaye alitoa wito huo jana nchini Marekani, katika Chuo Kikuu cha Elizabeth...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye- Watunzi saidieni kulinda ndoa

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka Watanzania wenye uwezo wa kuandika vitabu, kujitokeza na kuandika vitabu vitakavyosaidia kuipeleka jamii ya Watanzania mahala stahiki na kulinda maisha ya ndoa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Serikali iwekeze kwenye kilimo

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema ili Tanzania iimarike kiuchumi ni lazima serikali iwekeze kwenye kilimo, ufugaji na tafiti zake. Alisema uwekezaji katika maeneo hayo, utasaidia kuondoa umasikini unaowakabili Watanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye

>Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema angefarijika kama wanasiasa wanaojiandaa kugombea Urais mwaka 2015, wangekemea vitendo vya rushwa na ufisadi hadharani.

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOANDIKA JUMA MWAPACHU KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK MARA TU SUMAYE ALIPOTANGAZA KUHAMIA UKAWA

Juma Mwapachu
I believe earnestly that Tanzania is on a certain and definitive pathway towards a turning and tipping point in its history. It is a momentous stage where a new visionary leadership steps in and a fundamental re-definition of our country's goals and values is undertaken and executed. For all that can be said and even celebrated by global peer institutions such as the IMF and the World Bank about our country's ostensibly significant GDP economic performances in these past few...

 

9 years ago

Global Publishers

Majipu hadi kwenye ndoa?

Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki yangu f’lani ambaye mambo ya fedha kwake si tatizo, ila tatizo ni namna ya kuzitumia, kaniomba niwe mshenga wake.

Alikuwa anataka kupeleka posa kwa binti mmoja ambaye ni kabila langu hivyo mimi nilitegemewa kuwa najua mila na taratibu za kutoa posa. Basi kama tulivyokuwa tumepangiwa na wakwe watarajiwa, juzi saa kumi jioni tukawasili kwa wakwe watarajiwa.

Tulichelewa...

 

11 years ago

GPL

NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA

Makala: Gladness Mallya BAADA ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyezaliwa jijini Dar. Mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ Amezungumza mambo mengi yahusuyo tasnia ya uigizaji na maisha yake binafsi, mahojiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani