Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majipu hadi kwenye ndoa?

Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki yangu f’lani ambaye mambo ya fedha kwake si tatizo, ila tatizo ni namna ya kuzitumia, kaniomba niwe mshenga wake.

Alikuwa anataka kupeleka posa kwa binti mmoja ambaye ni kabila langu hivyo mimi nilitegemewa kuwa najua mila na taratibu za kutoa posa. Basi kama tulivyokuwa tumepangiwa na wakwe watarajiwa, juzi saa kumi jioni tukawasili kwa wakwe watarajiwa.

Tulichelewa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majipu kwenye halmashauri ni sawa na embe ng’ong’o

Moja kati ya maeneo yanayopokea fedha nyingi za bajeti ya maendeleo ni Mamlaka za Serikali za mitaa 163 za majiji na miji. Huko ndiko kwenye majipu makubwa kama embe ng’ong’o yanayotakiwa kutumbuliwa.

 

11 years ago

Bongo5

Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake

Hit maker wa Msambinungwa, Tunda Man amesema alikuwa mbioni kufunga ndoa mwezi wa kumi mwaka huu lakini ameahirisha kutokana na matatizo ya kifamilia. Tunda Man ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa afunge ndoa mwezi October lakini kutokana na kuuguliwa na mama yake, ameamua asitishe. “Nina mpango wa kuoa, nilikuwa nataka nifunge ndoa mwezi wa kumi lakini kwa […]

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Yaleyale ya Rais Kikwete hadi kwenye ujangili

>Mwaka 2006, ukiwa umepita muda mfupi tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kupata ushindi wa kishindo cha asilimia 80, alitoa kauli yenye utata kuhusu mapambano dhidi ya rushwa.

 

9 years ago

Bongo5

Roma asimulia ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye ‘Mwanakondoo’

‘Mwanakondoo’ ni wimbo wa Roma uliotoka mwishoni mwa mwaka jana 2014, ambao aliwashirikisha Stamina, Maunda Zorro na Walter Chilambo. Kwa kawaida huwa kunakuwa na sababu zinazowakutanisha wasanii hadi kufikia hatua ya kukubaliana kufanya kazi, na Roma amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye wimbo huo. Kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa beat […]

 

11 years ago

GPL

CATHY: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Na Rhoda Josiah MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi. Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema kabla ya kuolewa lazima uwe na utayari wa kuolewa na kujuana kwa undani zaidi na mwenzio kabla...

 

11 years ago

GPL

NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA

Makala: Gladness Mallya BAADA ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyezaliwa jijini Dar. Mwanadada mkongwe katika ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ Amezungumza mambo mengi yahusuyo tasnia ya uigizaji na maisha yake binafsi, mahojiano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa waliomo kwenye ndoa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amewashauri waliomo kwenye ndoa kuvumiliana katika mambo mbalimbali ili kuepuka chuki inayoweza kusababisha mauaji. Sumaye alisema hayo juzi mjini...

 

11 years ago

GPL

NATASHA: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Stori: Gladness Mallya NENO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa na mwanaye ,'Monalisa'. Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani