Majipu kwenye halmashauri ni sawa na embe ng’ong’o
Moja kati ya maeneo yanayopokea fedha nyingi za bajeti ya maendeleo ni Mamlaka za Serikali za mitaa 163 za majiji na miji. Huko ndiko kwenye majipu makubwa kama embe ng’ong’o yanayotakiwa kutumbuliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog16 May
Listen and Download New Audio from Linex — Onga Onga
Linex ametoa wimbo mpya kabisa ambao yeye mwenyewe anasema kuwa wimbo huu ndio official (yaani rasmi) kwa mwaka huu. Mwezi mmoja nyuma zilitoka nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe linex amesema hakuzitoa ila zilivuja kwa bahati mbaya, kwahiyo kwa mwaka huu wimbo huu “onga onga” ndio wimbo wake wa kwanza kutoa. Wimbo umefanyikia pale Sharobaro records chini ya usimamizi wa producer ambaye huwa anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa huyu si mwingine ni bob junior. Ebu sikiliza huu wimbo...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Chadema yataka Rais atumbue majipu dosari za halmashauri
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Majipu hadi kwenye ndoa?
Sasa mambo yamepamba moto, hii ishu ya kutumbua majipu imefika mahala pake dahh. Juzi nilipata kazi ya kuwa mshenga. Rafiki yangu f’lani ambaye mambo ya fedha kwake si tatizo, ila tatizo ni namna ya kuzitumia, kaniomba niwe mshenga wake.
Alikuwa anataka kupeleka posa kwa binti mmoja ambaye ni kabila langu hivyo mimi nilitegemewa kuwa najua mila na taratibu za kutoa posa. Basi kama tulivyokuwa tumepangiwa na wakwe watarajiwa, juzi saa kumi jioni tukawasili kwa wakwe watarajiwa.
Tulichelewa...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Elimu yetu sawa na kuchuma papai kwenye mwembe - 2
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dhexU0o7-pI/U4yBU3yhPyI/AAAAAAAFnQY/qv3hCDbOo-k/s72-c/New+Picture+(1).png)
KUWE NA MGAWANYO SAWA KWENYE MIRADI YA MAJI - TUNDU LISSU
Akichangia wakati wa bajeti ya Wizara ya Maji, mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu alisema imefika wakati serikali lazima iweke uwiano sawa wa mgawanyo wa fedha za miradi ya maji kwenye mikoa na sehemu zenye upungufu mkubwa wa Maji hapa nchini.
Akitolea mfano jimboni kwake alisema bajeti ya mwaka huu kwa jimbo lake...
10 years ago
Mtanzania05 Jun
‘Wabunge hudhurieni vikao kwenye halmashauri’
SERIKALI imesema ni wajibu wa wabunge wote wenye majimbo na wale wa viti maalumu kuhudhuria vikao vya mabaraza ya madiwani kwenye halmashauri zao.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, wakati akijibu swali la Mbunge wa Meatu, Meshack Opulukwa (Chadema).
Katika swali lake, Opulukwa alitaka kujua kauli ya Serikali kuhusu baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri kuwazuia wabunge kuhudhuria baadhi ya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
‘Halmashauri ziondoe usiri kwenye mapato’
HALMASHAURI za wilaya nchini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zimetakiwa kuondoa usiri kwenye mapato wanayokusanya hasa katika kodi za majengo. Wito huo ulitolewa mjini hapa juzi na Makamu Mwenyekiti...
10 years ago
Bongo527 Dec
Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo