Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Listen and Download New Audio from Linex — Onga Onga

linex

Linex ametoa wimbo mpya kabisa ambao yeye mwenyewe anasema kuwa wimbo huu ndio official (yaani rasmi) kwa mwaka huu. Mwezi mmoja nyuma zilitoka nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe linex amesema hakuzitoa ila zilivuja kwa bahati mbaya, kwahiyo kwa mwaka huu wimbo huu “onga onga” ndio wimbo wake wa kwanza kutoa. Wimbo umefanyikia pale Sharobaro records chini ya usimamizi wa producer ambaye huwa anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa huyu si mwingine ni bob junior. Ebu sikiliza huu wimbo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majipu kwenye halmashauri ni sawa na embe ng’ong’o

Moja kati ya maeneo yanayopokea fedha nyingi za bajeti ya maendeleo ni Mamlaka za Serikali za mitaa 163 za majiji na miji. Huko ndiko kwenye majipu makubwa kama embe ng’ong’o yanayotakiwa kutumbuliwa.

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: TIMBERLAND - SMILE ft. BOZEMAN (LISTEN & DOWNLOAD)



Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

11 years ago

Michuzi

Reviewed & Re-Released: "Ni Raha Tu"-AY [Original And Remix]-Listen And Download

Ni Raha Tu-AY Ni Raha Tu-AY| Ni Raha Tu-AY Feat.Complex[/caption] As the world was welcoming the new millennium with illusion global threat of Y2K, the east African nation of Tanzania was also going through its own share of changes. The scene resembled of a man standing in the middle of a burning lake of himself, unable to escape with time running out faster than a rocket.
 The country had lost her founding father, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a year earlier. Everyone was devastated and worried. The...

 

10 years ago

Africanjam.Com

LISTEN: NO SLEEP - JANET JACKSON (Audio Stream)


Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2008 kuisikia album ya staa wa muziki Janeth Jacksonambaye ni moja ya watoto mastaa kutoka kwenye familia ya mzee Joseph Walter “Joe” Jackson.. Familia yao yote iko kwenye Entertainment Industry, lakini kwa miaka saba Janeth hajawahi kuachia album wala single yoyote .

Ujio wake mwingine rasmi kabisa ni huu ndani ya 2015, kaachia hii single inayoitwa ‘No Sleep‘, nimeisogeza hapa uisikilize alafu utaniambia kwenye comment yako kama huu ujio...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Listen to AKA diss Cassper in radio freestyle

South African rapper AKA performed a freestyle on Metro Fm’s Touch Down show hosted by DJ, T’bo Touch. After being prompted to rap freestyle on his hit diss track, ‘Composure’ AKA took a few shots at his rival Cassper who recently dropped a diss track titled ‘Dust to Dust.’ Video uploaded to Youtube by The […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: EMINEM FEAT. GWEN STEFANI – ‘KINGS NEVER DIE’ (LISTEN & DOWNLOAD)


Watch the throne. Eminem and Gwen Stefani join forces on “Kings Never Die” off theSouthpaw soundtrack. On the triumphant rap-rock hybrid, Em comes for the crown and obliterates the competition with his rapid-fire rhymes (“It’d actually have to be a fuckin’ blowout to get me to retire / Tell these new artists that kings never die”), while the No Doubt frontwoman delivers an anthemic hook: “Here to stay even when I’m gone.”
Due July 24, the soundtrack also features contributions from 50 Cent,...

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Linex atangaza nia ya kugombea ubunge 2020 kupitia chama kipya

Linex Sunday Mjeda ameingia kwenye orodha ya baadhi ya wanamuziki wa Tanzania ambao tayari wameamua kuweka wazi nia na mipango waliyonayo ya kujihusisha moja kwa moja na mambo ya siasa . Akizungumza na Soudy Brown katika U Heard ya Clouds FM ya Agosti 6, Linex amesema amejiunga na chama kipya kiitwacho ACT , na ana […]

 

10 years ago

Jamtz.Com

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani