Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LISTEN: NO SLEEP - JANET JACKSON (Audio Stream)


Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2008 kuisikia album ya staa wa muziki Janeth Jacksonambaye ni moja ya watoto mastaa kutoka kwenye familia ya mzee Joseph Walter “Joe” Jackson.. Familia yao yote iko kwenye Entertainment Industry, lakini kwa miaka saba Janeth hajawahi kuachia album wala single yoyote .

Ujio wake mwingine rasmi kabisa ni huu ndani ya 2015, kaachia hii single inayoitwa ‘No Sleep‘, nimeisogeza hapa uisikilize alafu utaniambia kwenye comment yako kama huu ujio...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Christina Aguilera avutiwa na Janet Jackson

chrsMWANAMUZIKI wa miondoko ya Pop na RnB nchini Marekani, Christina Aguilera, amesema ana vigezo vitatu vinavyomfanya avutiwe na msanii mwezake, Janet Jackson.

Akizungumza na Jarida moja maarufu la burudani nchini humo, Christina alisema alipokuwa mdogo alikuwa akimfuatilia Janet Jackson kwenye runinga na alijikuta akivutiwa naye hadi alipoingia katika muziki akaendelea kuvutiwa naye.

“Nilikuwa napenda anavyocheza kwenye video zake na zaidi ilikuwa sauti yake ya kimahaba ‘Sexiest Voice’ ndiyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Janet Jackson aahirisha ziara ya kimuziki

Mwanamuziki nyota kutoka Marekani Janet Jackson ameahirisha ziara yake ya kimuziki ya Unbreakable ili kufanyiwa upasuaji.

 

10 years ago

CloudsFM

Janet Jackson Ameonekana Hadharani Baada Ya Mwaka Mmoja

Baada ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa kwenye mambo ya muziki na kwenye mambo ya burudani. Hivi karibuni watu waliomiss sana walimuona pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai Experience, ikiwa ni mara ya kwanza anaonekana hadharani baada ya mwaka mmoja.Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Janet Jackson feat. Missy Elliott — ‘Burnitup!’

We first got a taste of Janet Jackson and Missy Elliott’s “BURNITUP!” collaboration when video surfaced of Janet opening her tour with the song. Now, the highly anticipated track is finally here, and it’s every bit as much a jam as you’d hope from the two legends. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia […]

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up

Ikiwa imebaki wiki moja kabla album yake mpya ‘Unbreakable’ haijatoka rasmi Octoba 2, Janet Jackson ameachia single nyingine – Burn It Up. Katika single hiyo JJ kamshirikisha rapper mkongwe wa kike Missy Elliott. Janet aliwahi kutease wimbo huu alipokuwa akizindua ziara yake hivi karibuni. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

9 years ago

Bongo5

Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200

Album mpya ya Janet Jackson iitwayo ‘Unbreakable’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kuweka rekodi ya kuwa album ya saba ya mwimbaji huyo kushika namba moja kwenye chati hizo. Album hiyo iliyotoka October 2, 2015 imeuza nakala 116,000 katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music. ‘Unbreakable’ ni album […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya unaobeba album yake ijayo ‘Unbreakable’

Janet Jackon ameendelea kuwaonjesha mashabiki wake kile kitakachopatikana katika album yake mpya kwa kuachia wimbo uliobeba album hiyo. Hii ni single ya tatu kuachia kutoka kwenye album hiyo ambayo imefata baada ya ‘No Sleep’ aliyomshirikisha J.Cole. Album ya ‘Unbreakable’ imepangwa kutoka October 2, 2015 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Listen to AKA diss Cassper in radio freestyle

South African rapper AKA performed a freestyle on Metro Fm’s Touch Down show hosted by DJ, T’bo Touch. After being prompted to rap freestyle on his hit diss track, ‘Composure’ AKA took a few shots at his rival Cassper who recently dropped a diss track titled ‘Dust to Dust.’ Video uploaded to Youtube by The […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Listen and Download New Audio from Linex — Onga Onga

linex

Linex ametoa wimbo mpya kabisa ambao yeye mwenyewe anasema kuwa wimbo huu ndio official (yaani rasmi) kwa mwaka huu. Mwezi mmoja nyuma zilitoka nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe linex amesema hakuzitoa ila zilivuja kwa bahati mbaya, kwahiyo kwa mwaka huu wimbo huu “onga onga” ndio wimbo wake wa kwanza kutoa. Wimbo umefanyikia pale Sharobaro records chini ya usimamizi wa producer ambaye huwa anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa huyu si mwingine ni bob junior. Ebu sikiliza huu wimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani