Janet Jackson Ameonekana Hadharani Baada Ya Mwaka Mmoja
Baada ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa kwenye mambo ya muziki na kwenye mambo ya burudani. Hivi karibuni watu waliomiss sana walimuona pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai Experience, ikiwa ni mara ya kwanza anaonekana hadharani baada ya mwaka mmoja.
Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Christina Aguilera avutiwa na Janet Jackson
MWANAMUZIKI wa miondoko ya Pop na RnB nchini Marekani, Christina Aguilera, amesema ana vigezo vitatu vinavyomfanya avutiwe na msanii mwezake, Janet Jackson.
Akizungumza na Jarida moja maarufu la burudani nchini humo, Christina alisema alipokuwa mdogo alikuwa akimfuatilia Janet Jackson kwenye runinga na alijikuta akivutiwa naye hadi alipoingia katika muziki akaendelea kuvutiwa naye.
“Nilikuwa napenda anavyocheza kwenye video zake na zaidi ilikuwa sauti yake ya kimahaba ‘Sexiest Voice’ ndiyo...
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Janet Jackson aahirisha ziara ya kimuziki
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-E1sb9sX--6o/VYmKWafyiAI/AAAAAAAACLk/Rvx3slXcFNc/s72-c/janet_jackson_004.jpg)
LISTEN: NO SLEEP - JANET JACKSON (Audio Stream)
![](http://1.bp.blogspot.com/-E1sb9sX--6o/VYmKWafyiAI/AAAAAAAACLk/Rvx3slXcFNc/s400/janet_jackson_004.jpg)
Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2008 kuisikia album ya staa wa muziki Janeth Jacksonambaye ni moja ya watoto mastaa kutoka kwenye familia ya mzee Joseph Walter “Joe” Jackson.. Familia yao yote iko kwenye Entertainment Industry, lakini kwa miaka saba Janeth hajawahi kuachia album wala single yoyote .
Ujio wake mwingine rasmi kabisa ni huu ndani ya 2015, kaachia hii single inayoitwa ‘No Sleep‘, nimeisogeza hapa uisikilize alafu utaniambia kwenye comment yako kama huu ujio...
9 years ago
Bongo526 Sep
Music: Janet Jackson feat. Missy Elliott — ‘Burnitup!’
9 years ago
Bongo525 Sep
New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up
9 years ago
Bongo504 Sep
Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya unaobeba album yake ijayo ‘Unbreakable’
9 years ago
Bongo513 Oct
Album mpya ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ yaweka rekodi kwenye chati za Billboard 200
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
Na Emanuel Madafa, Mbeya
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.
Tukio hilo limetokea Novemba 112 majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway, kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.
Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Mwaka mmoja baada ya kuanzishwa; Halmashauri ya bumburi yafunga kiwanda cha chai