Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yataka Rais atumbue majipu dosari za halmashauri

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Rais John Magufuli atumbue majibu yaliyosababisha dosari kujitokeza kwenye chaguzi za viongozi wa halmashauri na manispaa nchini.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majipu kwenye halmashauri ni sawa na embe ng’ong’o

Moja kati ya maeneo yanayopokea fedha nyingi za bajeti ya maendeleo ni Mamlaka za Serikali za mitaa 163 za majiji na miji. Huko ndiko kwenye majipu makubwa kama embe ng’ong’o yanayotakiwa kutumbuliwa.

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATAKA UWEKEZAJI KWENYE VILIMA Na MAENEO YA WAZI

Na Ahmed Mahmoud ArushaHalmshauri ya Jiji la Arusha imeendelea kusimamia sheria za ulimaji wa mahindi na mifugo kwa maeneo ya katikati ya Jiji Ila nje ya mji bado sheria hiyo haijafika huko mfano Kata ya Teret.
Aidha Baraza hilo likataka Taarifa za mikopo ilivyotolewa na fedha zilizorejeshwa na kuainishwa vikundi na kundi maalumu walionufaika na mikopo ya vijana na kinamama.
Akiongea kwenye kikao hicho Diwani wa kata ya Muriet Mbise alisema taarifa hiyo ipo sawa hivyo waendelee na mjadala...

 

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Msaidieni Rais kukamua majipu madogo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewataka viongozi wa dini kuihamasisha jamii kumsaidia Rais John Magufuli kukamua majipu madogomadogo ambayo yapo kila mahali nchini na kumuachia mkuu huyo wa nchi yake makubwa.

 

5 years ago

Bongo5

‘Mh Rais, majipu unayotumbua wewe ni madogo madogo’ – Askofu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli sikukuu ya Pasaka, waliungana na waumini wa kanisa la Africa Inland – Tanzania Dayosisi ya Pwani Pastorate ya Magomeni kusali ibada ya Pasaka.

Katika ibada hiyo Askofu wa Kanisa la Africa Inland – Tanzania Baba Askofu Charles Salalah aliongoza maombi ya kumuombea Rais Magufuli na kumpongeza kwa kazi kubwa ya kurekebisha mambo yote yasiyofaa nchini ikiwemo kuwaondoa viongozi wanaotumia madaraka yao...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

9 years ago

Dewji Blog

Kanisa la Pentekoste Singida lamuombea Rais Magufuli nguvu ya kuendelea kutumbua majipu nchini

pic+magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Na Nathaniel Limu, Singida

KANISA la Pentekoste (FPCT) Tanzania la mjini kati Singida limetumia maadhimisho ya siku ya kuzaliwa (krismasi) kwa Yesu Kristo, kumwombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu aendelee kumpa afya,nguvu na ujasiri wa kutumbua majipu.

Maombi hayo maalum,yalifanywa na waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mchungaji Philipo Sospeter,kwa kile kilichodaiwa kuwa Rais Magufuli ameanza vizuri kuwatumikia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yataka Pinda awatimue DC, DED Kiteto

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu viongozi wa Wilaya ya Kiteto akiwemo Mkuu wa Wilaya hiyo, Martha Umbulla na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Jane Mutagurwa na amshauri...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yataka amani, Chadema waibana polisi

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wapinzani wao katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea katika Jimbo la Kalenga kufanya siasa za amani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi

1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani