Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMWELWE ATAKA MPANGO KAZI DARAJA LA KIYEGEYA


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (Wa Nne kushoto), akielekea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mchepuko na maandalizi ya ujenzi wa daraja katika eneo la Kiyegeya,
mkoani Morogoro. Daraja hilo lilikatika tarehe 2 Machi mwaka huu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akisisitiza jambo kwa wahandisi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakati akikagua maendeleo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA DARAJA LA MUDA LA KIYEGEYA, Abaini Meneja wa TANROADS Mkoa bado hajateuliwa

*Aliyemhamisha akutwa bado yuko ‘site’ sababu ni mtaalamu wa madaraja
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa barabara ya muda kwenye eneo la daraja la Kiyegeya na kusema kazi inaenda vizuri sababu hakuna tena msongamano wa magari kama ilivyokuwa wiki iliyopita.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesisitiza kuwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wa mikoa yote nchini wanapaswa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa madaraja yote siyo kwa juu tu bali hadi chini ya madaraja ili...

 

5 years ago

Michuzi

MPANJU ATAKA VIPAUMBELE VYA MSINGI VIIBULIWE KATIKA MPANGO KAZI WA PILI WA HAKI ZA BINADAMU


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju akifungua kikao cha siku mbili cha wataalam wa Kikosi kazi cha kupitia rasimu ya mpango kazi wa pili wa haki za binadamu kinachofanyika jijini Dodoma.Wengine pichani kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Haki za Binadamu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Nkasori Sarakikya na kushoto ni Afisa Mchunguzi Mkuu na Mratibu wa Mpango kazi wa kwanza wa haki za binadamu Bw. Laurent Buliro kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Baadhi ya Viongozi wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wanaohudhuria kikao cha kuandaa Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi wa Wizara hiyo katika Chuo cha Kanda cha Uhamiaji mjini Moshi, (toka kulia) Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Clodwig Mtweve, Kamishna wa Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Juma Mohamed.    Maafisa wa Wizara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MPANGO WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA KISASA LA SALENDER WAKAMILIKA

Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocean Road/ Baraka Obama Road). Daraja hilo pamoja na barabara zake, litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku huku likiwa na njia nne za magari pamoja service road njia za waenda kwa miguu kila upandeWaziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Chung Il...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ATAKA DARAJA LA KOGA KUKAMILIKA MWEZI OKTOBA

Ujenzi wa Daraja la Koga lenye urefu wa mita 120 ukiendelea kwa kasi. Daraja hilo linaunganisha mkoa wa Katavi na Tabora unatarajiwa kukamilika mwezi Oktoba mwaka huu.
Mtambo wa kushindilia lami ukiendelea na kazi katika barabara ya Tabora – Koga – Mpanda (km 324.7); sehemu ya Kasinde – Mpanda, mkoani Katavi. Ujenzi wa sehemu hiyo umefikia asilimia 48.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa kampuni ya Jiangxi Geo – Engineering, Bw. Li, wakati alipokagua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin ataka mpango wa kupambana na IS

Rais wa Urusi,Vladmir Putin ametoa wito wa kuwepo kwa mpango wa kikanda wa kupambana na wanamgambo wa Islamic State

 

10 years ago

Michuzi

KAZI NA MAPUMZIKO NDO MPANGO

Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa katika mapumziko juu ya kifaa chake cha kazi kama alivyo kutwa mapema leo na kamera ya Globu ya Jamii  jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Makonda atangaza mpango kazi wake

Paul MakondaMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameweka wazi mpango kazi wake baada ya kukaa ofisini kwa siku tatu tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani