Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI ATAKA DARAJA LA KOGA KUKAMILIKA MWEZI OKTOBA

Ujenzi wa Daraja la Koga lenye urefu wa mita 120 ukiendelea kwa kasi. Daraja hilo linaunganisha mkoa wa Katavi na Tabora unatarajiwa kukamilika mwezi Oktoba mwaka huu.
Mtambo wa kushindilia lami ukiendelea na kazi katika barabara ya Tabora – Koga – Mpanda (km 324.7); sehemu ya Kasinde – Mpanda, mkoani Katavi. Ujenzi wa sehemu hiyo umefikia asilimia 48.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa kampuni ya Jiangxi Geo – Engineering, Bw. Li, wakati alipokagua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu

 Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI

Na Munir Shemweta, WANMM SIMIYUNAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuanza kupanga maeneo ya uwekezaji katika sehemu ambazo miji inakuwa kwa kasi.
Dkt Mabula alisema hayo jana katika mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali na sekta binafsi kuhusiana na changamoto za uwekezaji katika mkoa wa Simiyu.Alisema, kuna maeneo mengi nchini ambayo miji inaendelea kwa kasi hivyo halmashauri kupitia Wakurugenzi wake zinapaswa kuhakikisha...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI KUBANWA



Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Iringa (IRUWASA) Gilbert Kayange baada ya kumpatia taarifa inayoonesha kiasi cha kodi ya pango la ardhi inachodaiwa Mamlaka hiyo wakati wa zoezi lake la kuwafikia wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi katika mkoa wa Iringa tarehe 16 Mei 2020. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga kuelekea kuzungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SHONZA AIPA MWEZI MMOJA KAMPUNI YA BENCMARK 360 LTD KUMLIPA MSHINDI WA MASHINDANO YA BSS 2019

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 08/04/2020 ofisini kwake jijini Dodoma ambapo ameitaka kampuni ya Benchmark 360 Ltd ambao ni waandaji wa mashindano ya kutafuta vipaji vya muziki ya Bongo Star Search (BSS) kumlipa mshindi wa mashindano ya BSS 2019 Ndg. Meshack Fukuta ndani ya mwezi mmoja kuanzia leo.

Meshack aliibuka mshindi kwenye mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA KWANGWA MUSOMA

 Mkuu wa mkoa wa Mara Adam Malima akimuonesha sehemu ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la hospitali ya Rufaa ya Kwangwa Musoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alipofanya ziara kukagua ujenzi wa hospitali hiyo jana, Jengo hilo linajengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akikagua sehemu za jengo la hospitali ya Rufaa ya Kwangwa alipofanya ziara kukagua maendeleo ya ujenzi huo jana....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daraja Kigamboni kukamilika mwakani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa daraja la Kigamboni linatarajiwa kukamilika Julai Mwakani. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi inayosimamiwa na Mfuko...

 

10 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Desemba

UJENZI wa daraja linalounganisha Kigamboni na Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani