Makonda atangaza mpango kazi wake
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameweka wazi mpango kazi wake baada ya kukaa ofisini kwa siku tatu tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
5 years ago
MichuziWAZIRI MPANGO ATANGULIZA MSAMAHA WAKATI AKIMIMINIA SIFA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI KWA UTENDAJI KAZI WAKE
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ameomba msamaha ili kutoa ushuhuda ushuhuda wake kuhusu Rais Dk.John Magufuli ambapo amesema Baba huyu(Dk.Magufuli) ni kiongozi mwenye maono na uwezo mkubwa.
Aidha, ana kipaji cha hali ya juu cha kufanya yasiyowezekana na ni kiongozi ambaye anafahamu vema kuwa ili nchi ifanikiwe kuleta mabadiliko chanya ni lazima kuvunja kabisa...
11 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATANGAZA VITA NA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI, MSAKO MKALI KUANZA KESHO.
RC Makonda amewaelekeza Wakuu wa Wilaya zote Tano za Mkoa huo kuhakikisha msako huo unaanza kesho na asisalie Mfanyabiashara yoyote anaeuza Sukari hiyo kwa Bei ya Juu.
Hatua hiyo imekuja...
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATANGAZA PUNGUZO LA BEI HADI 80% KWENYE MADUKA MAKUBWA YA NGUO DAR.
RC Makonda amesema Miongoni mwa Maduka Makubwa yaliyoamua kutoa punguzo la bei ni pamoja na Mr. Price na Red Tag ya Mlimani city, Vunja Bei, Maduka yaliyopo City Mall pamoja na...
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATANGAZA KUANZIA JUMATATU WANANCHI WOTE WANAOTOKA MAJUMBANI LAZIMA WAWE WAMEVAA BARAKOA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WANANCHI wa Jiji la Dar es Salaam hasa wale ambao wanatoka na kwenda kwenye shughuli mbalimbali wanatakiwa kuvaa barakoa kuanzia Jumatatu ya Aprili 20, mwaka huu kama hatua ya kukabiliana na virusi vya Corona na atakayekaidi atachukuliwa hatua kali.
Akizungumza leo Aprili 18, 2020 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa kuanzia Jumatatu watu wa Jiji hilo watatakiwa kuvaa...
5 years ago
MichuziJAFO ATANGAZA MPANGO WA WANAFUNZI KUJISOMEA KIELEKTRONIKI KIPINDI HIKI CHA CORONA
Aidha, amewataka wanafunzi kuzingatia ratiba ya masomo inayotolewa ili wasikose vipindi vinavyorushwa kwenye redio,runinga na mitandao ya kijamii.
Jafo ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
MichuziMAKONDA AANZA KAZI RASMI WILAYA YA KINONDONI,JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
DC Makonda kutumia sehemu ya mshahara wake kuwalipa wanasheria
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam asubuhi, wakati akitoa taarifa ya utatuzi wa migogoro ya ardhi katika wilaya hiyo.
Wanahabari wakiwa katika mkutano na Bwana Makonda.
Waandishi wa habari kutoka vyombombalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Dotto Mwaibale
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema atachukua sehemu ya mshahara wake kwa...