RC MAKONDA ATANGAZA VITA NA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI, MSAKO MKALI KUANZA KESHO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa na Serikali.
RC Makonda amewaelekeza Wakuu wa Wilaya zote Tano za Mkoa huo kuhakikisha msako huo unaanza kesho na asisalie Mfanyabiashara yoyote anaeuza Sukari hiyo kwa Bei ya Juu.
Hatua hiyo imekuja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
BEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA

Charles James, Michuzi TVSERIKALI...
5 years ago
Michuzi
MSAKO MKALI WA SUKARI WAANZA

**********************************
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akiambatana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Tarafa wameongoza msako mkali wa kukagua utekelezaji wa bei elekezi ya sukari iliyotolewa na Serikali hivi karibuni.
Gavana Shilatu alipita kwenye maduka ya jumla na ya rejareja kuona namna Wafanyabiashara wanavyouza sukari ambapo kwa bei ya rejareja hawatakiwi kuuza zaidi ya bei ya Tsh. Elfu tatu (3,000/=) kwa kilogram moja na kukuta maduka...
5 years ago
Michuzi
MANYANYA ATANGAZA MSAKO KWA WAFANYABISHARA WANAOUZA BEI KUBWA NDOO ZA KUNAWIA MIKONO

………………………………………………………………………..
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Stella Manyanya ameelekeza Viwanda ya plastiki nchini kuzalisha ndoo kwa wingi na ametoa onyo kali kwa...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA ATANGAZA PUNGUZO LA BEI HADI 80% KWENYE MADUKA MAKUBWA YA NGUO DAR.

RC Makonda amesema Miongoni mwa Maduka Makubwa yaliyoamua kutoa punguzo la bei ni pamoja na Mr. Price na Red Tag ya Mlimani city, Vunja Bei, Maduka yaliyopo City Mall pamoja na...
5 years ago
Michuzi
MSD YAWAONYA WANAOPANDISHA BEI ZA VIKINGA CORONA

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) Lawrean Bwanakunu amesema kuwa endapo wafanyabiashara wa bidhaa zinazosaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya korona wataendelea na tabia ya kupandisha bei ya bidhaa hizo itabidi MSD iingize bidhaa hizo mtaani.
Akielezea suala la bei ya vikinga virusi vya korona Bwanakunu alitolea mfano na kusema “Dawa za kuoshea mikono (sanitizer) ambayo bei yake halali katika soko ni shilingi 2,500 lakini kwa sasa wafanyabiashara...
5 years ago
Michuzi
MSD YAWATAHADHARISHA WANAOPANDISHA BEI ZA VIKINGA KORONA

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) Lawrean Bwanakunu amesema kuwa endapo wafanyabiashara wa bidhaa zinazosaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya korona wataendelea na tabia ya kupandisha bei ya bidhaa hizo itabidi MSD iingize bidhaa hizo mtaani.
Akielezea suala la bei ya vikinga virusi vya korona Bwanakunu alitolea mfano na kusema “Dawa za kuoshea mikono (sanitizer) ambayo bei yake halali katika soko ni shilingi 2,500 lakini kwa sasa wafanyabiashara...
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
5 years ago
CCM Blog
MSD YAWATAHADHARISHA WANAOPANDISHA BEI BIDHAA ZINAZOSAIDIA KUJIKINGA NA CORONA