Viongozi Simanjiro watupiwa lawama kutokana na rasilimali kutowanufaisha wananchi
Wakazi wa vijiji vilivyopo katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wameelezea kutoridhishwa na hali duni ya maisha wanayoishi ukilinganisha na rasilimali kubwa ya mifugo pamoja na madini ya Tanzanite yanayopatikana wilayani humo.
Wengi wao wanawashutumu viongozi wanaopewa dhamana ya kuongoza eneo hilo kushindwa kusimamia rasilimali zilizopo ili ziwanufaishe wananchi wote.
Kundi kubwa la wakazi wa eneo hilo la simanjiro ni watu wa jamii ya kifugaji ambao kwa asilimia kubwa hutegemea mifugo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Askari wa Temesa watupiwa lawama
LICHA ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kuruhusu upigaji picha katika eneo la kivuko na ndani, askari wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) wameendelea kukataza na kuwachukulia hatua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WXsMGaxiHVM/XuUNFsYnILI/AAAAAAALts8/1hTk8tFdfbQpG_goTxCSv7z7nOHoOCAVQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200612-WA0024.jpg)
WANANCHI SIMANJIRO KUNUFAIKA NA HOSPITALI MPYA YA WILAYA
Mhandisi Chaula akizungumza jana wakati akizindua hospitali hiyo alimshukuru Rais John Magufuli kwa kuwapatia fedha za ujenzi huo uliogharimu shilingi bilioni 1.8 zilizotumika hadi sasa.
Alisema tangu wilaya hiyo ianzishwe mwaka 1994...
11 years ago
Habarileo22 Jan
Viongozi wa dini kusimamia rasilimali
SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kusimamia rasilimali za nchi kwa kushirikiana na viongozi wa dini, ili kuondoa upotoshaji na kuimarisha umoja na amani ya nchi. Rais Kikwete alisema hayo jana katika kongamano lililoandaliwa Dar es Salaam na viongozi wa dini nchini, kuhusu rasilimali za gesi asilia, mafuta na madini.
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Lawama kwa viongozi wa Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Lawama kwa viongozi wa kiisilamu Kenya
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Ofisi ya Takwimu yawatupia lawama viongozi nchini
11 years ago
MichuziDiwani wa Kata ya Endiamtu, Wilaya ya Simanjiro awataka wananchi wake kujiunga na CHF
Ili kuwahamasisha wananchi wajiunge na mfuko wa afya ya jamii (CHF) Diwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Lucas Zacharia amelipia sh500,000 za gharama za matibabu, kwa kaya 50 za watu 300 wa kata hiyo.
Akizungumza jana kwenye...
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
LEAT yawajengea uwezo wananchi kulinda rasilimali
CHAMA cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) kwa sasa kinaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi, kamati za maliasili na mazingira na viongozi kutoka vijiji na kata mbalimbali za wilaya ya...
10 years ago
StarTV28 Dec
Wananchi Mtwara Vijijini wamtupia lawama Mbunge wao.
Na Joseph Mpangali,
Mtwara.
Wakazi wa Mtwara Vijijini wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kupeleka mtandao wa mawasiliano ya Simu kwa kipindi kirefu sasa.
Hali hiyo inadaiwa kuwalazimu wakazi hao kutumia simu kama kifaa cha kusikilizia muziki.
Licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya ziara wilaya Mtwara na kutoa maagizo ya kufuatilia kwa Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Hawa Ghasia lakini mpaka sasa hakuna...