Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lawama kwa viongozi wa Sudan Kusini

Mwaka mmoja baada ya vita kuanza tena Sudan Kusini, Katibu mkuu wa UN, Banki Moon anasema uhasama uliopo kati ya mahasimu wakuu wawili wa taifa hilo ndio unaotumbukiza taifa hilo katika lindi la uhasama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Lawama kwa viongozi wa kiisilamu Kenya

Baraza makanisa nchini Kenya(NCCK) limewalaumu vongozi wa kiislamu na serikali kushindwa kuzuia mashambulizi dhidi ya wakristu.

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA VIONGOZI WA SUDAN KUSINI WAVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA TANROADS

Mkurugenzi wa Mipango wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Jason Rwiza, akielezea namna TANROADS inavyofanya kazi za ujenzi wa barabara hapa nchini kwa ujumbe wa viongozi kutoka Sudan Kusini katika ofisi za Wakala hao jijini Dar es salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Barabara wa Sudan Kusini Eng. Kenyata Warille, akifafanua namna Mamlaka yake inavyofanya kazi za ujenzi wa barabara nchini kwao. (Nyuma wa kwanza kulia) ni Mwakilishi wa JICA wa Sudan Kusini Tomoki Kobayashi,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Salva Kiir na Riek Machar : Viongozi wa Sudan Kusini wakubaliana kuunda serikali ya muungano

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, kupunguzwa kwa magavana ni suluhisho kwa mzozo wa Sudan Kusini?

Hatua ya rais wa Sudan kusini Salva Kiir kupunguza magavana italeta amani ya kudumu?

 

9 years ago

BBCSwahili

Pigo kwa mapatano Sudan Kusini

Matumaini ya kuafikia makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini yamepata pigo kufuatia tangazo kuwa rais hatahudhuria

 

11 years ago

BBCSwahili

Pigo kwa waasi Sudan Kusini

Serikali ya Sudan Kusini inasema kuwa jeshi lake limekomboa mji wa Bor kutoka kwa waasi wa Riek Machar.

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisi ya Takwimu yawatupia lawama viongozi nchini

Viongozi wengi wanafanya uamuzi wa taifa bila kuzingatia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini, imeelezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Vita Sudan Kusini yazuia ajira kwa walimu nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SERIKALI imesema haiwezi kupeleka walimu nchini Sudan Kusini licha ya kuwa na soko kubwa la walimu kutokana na hali tete ya usalama nchini humo.

 

9 years ago

StarTV

Viongozi Simanjiro watupiwa lawama kutokana na rasilimali kutowanufaisha wananchi

Wakazi wa vijiji vilivyopo katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wameelezea kutoridhishwa na hali duni ya maisha wanayoishi ukilinganisha na rasilimali kubwa ya mifugo pamoja na madini ya Tanzanite yanayopatikana wilayani humo.

Wengi wao wanawashutumu viongozi wanaopewa dhamana ya kuongoza eneo hilo kushindwa kusimamia rasilimali zilizopo ili ziwanufaishe wananchi wote.

Kundi kubwa la wakazi wa eneo hilo la simanjiro ni watu wa jamii ya kifugaji ambao kwa asilimia kubwa hutegemea mifugo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani