Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, kupunguzwa kwa magavana ni suluhisho kwa mzozo wa Sudan Kusini?

Hatua ya rais wa Sudan kusini Salva Kiir kupunguza magavana italeta amani ya kudumu?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wanashiriki mzozo wa Sudan Kusini

Shirika linalopigania haki ya binadamu, Human Rights Watch limesema kuwa watoto wanatumika katika mapigano ya Sudan Kusini

 

11 years ago

BBCSwahili

Juhudi kukomesha mzozo Sudan Kusini

Jamii ya kimataifa imeelezea kuwa itafanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa mgogoro wa Sudan Kusini unatuliwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Pigo kwa waasi Sudan Kusini

Serikali ya Sudan Kusini inasema kuwa jeshi lake limekomboa mji wa Bor kutoka kwa waasi wa Riek Machar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lawama kwa viongozi wa Sudan Kusini

Mwaka mmoja baada ya vita kuanza tena Sudan Kusini, Katibu mkuu wa UN, Banki Moon anasema uhasama uliopo kati ya mahasimu wakuu wawili wa taifa hilo ndio unaotumbukiza taifa hilo katika lindi la uhasama.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pigo kwa mapatano Sudan Kusini

Matumaini ya kuafikia makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini yamepata pigo kufuatia tangazo kuwa rais hatahudhuria

 

10 years ago

Habarileo

Vita Sudan Kusini yazuia ajira kwa walimu nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SERIKALI imesema haiwezi kupeleka walimu nchini Sudan Kusini licha ya kuwa na soko kubwa la walimu kutokana na hali tete ya usalama nchini humo.

 

9 years ago

Dewji Blog

MEFMI yafanya majadiliano na magavana wa nchi za Afrika Mashariki na kusini

IMG_8228

Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya  pamoja na Magavana wa Mashariki na Kusini mwa Afrika  baada ya mkutano wa MEFMI.(Picha na Eva Valerian, Peru – Lima).

Katika kipindi hiki cha mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa, kumekuwa na mikutano mbalimbali inaendelea hapa nchini Peru. Mikutano hiyo inaendeshwa na Taasisi mbalimbali zenye utaalamu wa kiuchumi na kifedha....

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi 635 Tanzanite One kupunguzwa kazi kutokana na kupungua kwa uzalishaji

Wafanyakazi mia sita thelathini na tano wa Mgodi wa Tanzanite One wanaofanya kazi katika machimbo ya Tanzanite Mirerani Simanjiro wanatarajiwa kupunguzwa kazini kutokana na hali ya uzalishaji ya kampuni hiyo kutoridhisha.

 Uamuzi wa kupunguza wafanyakazi hao umefikiwa na uongozi wa mgodi huo kwa madai kwamba ni kudorora kwa hali ya kifedha kwa kampuni hiyo kunakosababishwa na hali ya uzalishaji wa madini.

Akitolea ufafanuzi mchakato wa zoezi hilo katika eneo la mgodi huo wa Tanzanite...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani