Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wanashiriki mzozo wa Sudan Kusini

Shirika linalopigania haki ya binadamu, Human Rights Watch limesema kuwa watoto wanatumika katika mapigano ya Sudan Kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

11 years ago

BBCSwahili

Juhudi kukomesha mzozo Sudan Kusini

Jamii ya kimataifa imeelezea kuwa itafanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa mgogoro wa Sudan Kusini unatuliwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, kupunguzwa kwa magavana ni suluhisho kwa mzozo wa Sudan Kusini?

Hatua ya rais wa Sudan kusini Salva Kiir kupunguza magavana italeta amani ya kudumu?

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wasajiliwa wanajeshi Sudan Kusini

Ripoti zinasema kuwa takriban watoto elfu kumi na moja wamesajiliwa jeshini nchini Sudan Kusini

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wengi watekwa Sudan Kusini

Vijana wadogo wadogo wanyakuliwa kambini Sudan Kusini na watu waliokuwa na silaha

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watoto waachiliwa Sudan Kusini

Waasi nchini Sudan Kusini wamewaachilia huru wanajeshi watoto wapatao 250 .

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto wapotezana na wazazi Sudan Kusini

Mashirika ya misaada yasema maelfu ya watoto Sudan Kusini wanahofiwa kupotezana na wazazi wao

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamia ya watoto watekwa Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa umesema watoto waliotekwa hivi karibuni Sudan Kusini walichukuliwa na kundi lililo upande wa serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

UNICEF:Watoto zaidi wauawa Sudan Kusini

UNICEF linasema kuwa wavulana na wasichana wenye umri wa hadi miaka 7 wameuawa ,kutekwa na kubakwa katika ghasia za hivi majuzi nchini Sudan Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani