Wafanyakazi 635 Tanzanite One kupunguzwa kazi kutokana na kupungua kwa uzalishaji
Wafanyakazi mia sita thelathini na tano wa Mgodi wa Tanzanite One wanaofanya kazi katika machimbo ya Tanzanite Mirerani Simanjiro wanatarajiwa kupunguzwa kazini kutokana na hali ya uzalishaji ya kampuni hiyo kutoridhisha.
Uamuzi wa kupunguza wafanyakazi hao umefikiwa na uongozi wa mgodi huo kwa madai kwamba ni kudorora kwa hali ya kifedha kwa kampuni hiyo kunakosababishwa na hali ya uzalishaji wa madini.
Akitolea ufafanuzi mchakato wa zoezi hilo katika eneo la mgodi huo wa Tanzanite...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kufanyia kazi nyumbani kutokana na corona
Kwa mujibu wa taarifa, siku ya Ijumaa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuanzia 16 Machi hadi 12 Aprili wafanyakazi wa makao makuu ya umoja huo mjini New York watafanyia kazi zao nyumbani isipokuwa tu wale ambao ni dharura wafike ofisini.
Tangazo hilo limetolewa baada ya mwanadiplomasia wa Ufilipino...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Mvutano waibuka upunguzaji wafanyakazi Tanzanite One
9 years ago
CCM BlogNAPE ATAKA WAFANYAKAZI KAZI KWA KUJIAMINI
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura akiwasalimu Viongozi, Wakuu wa Idara kwenye kikao cha kwanza ambapo aliwataka kuzingatia kazi na kuzifanya kwa ufanisi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Wakurugenzi na Viongozi wa Idara mbali mbali walio chini ya Wizara yake .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe....
9 years ago
StarTV19 Dec
Wafanyakazi 10 wa TANESCO wasimamishwa kazi kwa Madai Ya Upotevu Wa Fedha
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewasimaisha kazi wafanyakazi wake 10 baada ya kubainika kuhusika na wizi wa umeme kwenye mfumo wa mita kwenye minara ya simu uliosababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shingili Milioni 100.
Miongoni mwa wafanyakazi hao ni pamoja na mafundi, wahasibu na wahandisi umeme ambao wanadaiwa kushirikiana na wateja kuhujumu shirika hilo kwa kupokea rushwa na kisha kusambaza umeme unaotumika bila kulipwa.
Desemba 14, mwaka huu Shirika hili lilitangaza kupata...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI MGODI WA NORTH MARA WATUZWA KWA UMAHIRI NA UMAKINI KATIKA KAZI
10 years ago
MichuziMABARAZA YA WAFANYAKAZI TAASISI ZA ELIMU YA JUU YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI
10 years ago
VijimamboUtafiti unasema 60% ya akina dada wafanyakazi wamepata kazi kwa kutoa rushwa ya ngono
10 years ago
GPLMWIGULU AYATAKA MABARAZA YA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU KUFANYA KAZI KWA WELEDI
9 years ago
Habarileo02 Dec
Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi
KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.