Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi

KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI 600 WA TANZANITEONE KUACHISHWA KAZI

KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. 
Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Iringa mjini, Meneja wa Kampuni hiyo, Apolinari Modest alisema kwa sasa uongozi wa kampuni hiyo tayari ulishafuata taratibu zote za kuachisha kazi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya watu 600 watoa maoni juu ya utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa nchini

IMG_7241

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania  ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni  wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_7256

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akitoa maelezo kwa mwananchi...

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WATU 600 WATOA MAONI JUU YA UTENDAJI KAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI‏

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania. Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wa UDA wapinga kuachishwa kazi

MADEREVA wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) wamelalamikia shirika hilo kuwapunguza kazini hivi karibuni bila kufuata utaratibu unaofaa, ikiwa ni pamoja na mchanganuo wa malipo yao.

 

11 years ago

GPL

DAVID MOYES KUACHISHWA KAZI SIKU YOYOTE KUANZIA LEO

Kocha Mkuu wa Man United, David Moyes. Vyombo vya habari vya Uingereza, likiwemo Mail on Sunday vimeripoti kuwa David Moyes ataachishwa kazi wiki chache zijazo na kwamba anaweza kuachiswa hata leo au kesho. Wamiliki wa timu hiyo, familia ya Glazer wanadaiwa kuishiwa uvumilivu kwa kocha huyo ambaye tangu aanze kuinoa imeendelea kufanya vibaya na sasa ikiwa nafasi ya saba kwenye msimamo wa Barclays Premier League. Siku ya jumapili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vifo kutokana na Ebola ni zaidi ya 600

Vifo kutokana na Ebola huko Afrika magharibi ni zaidi ya 600 huku udhibiti ukicheleweshwa na changamoto zinazoibuka .

 

11 years ago

Tanzania Daima

KDU wakamata majangili zaidi ya 600

KIKOSI cha Kuzuia Ujangili (KDU) Kanda ya Kati, kimefanikiwa kukamata majangili 692 na meno ya tembo 195 katika Operesheni Tokomeza Ujangili iliyofanyika wilayani Manyoni, Singida kuanzia mwaka 2009 hadi 2012....

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal

Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uandikishaji wa wananchi kwenye Daftari la Wapigakura nchini utamalizika mwishoni wa mwezi ujao baada ya mashine 1,600 zaidi za kielektroniki kwa ajili ya kazi hiyo kuwasili juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani