Madereva wa UDA wapinga kuachishwa kazi
MADEREVA wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) wamelalamikia shirika hilo kuwapunguza kazini hivi karibuni bila kufuata utaratibu unaofaa, ikiwa ni pamoja na mchanganuo wa malipo yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Dec
Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi
KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
9 years ago
Michuzi02 Dec
WAFANYAKAZI 600 WA TANZANITEONE KUACHISHWA KAZI
Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Iringa mjini, Meneja wa Kampuni hiyo, Apolinari Modest alisema kwa sasa uongozi wa kampuni hiyo tayari ulishafuata taratibu zote za kuachisha kazi...
11 years ago
GPLDAVID MOYES KUACHISHWA KAZI SIKU YOYOTE KUANZIA LEO
10 years ago
Habarileo26 Sep
UDA yatimua madereva 42
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limewafukuza kazi madereva wake 42 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa nidhamu. Makosa mengine yaliyosababisha wafukuzwe kazi ni, kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, kukatisha njia kinyume cha taratibu na kutoza nauli zisizo rasmi tofauti na zilizopo kwenye tiketi.
10 years ago
Habarileo20 Oct
Madereva UDA wagoma
MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Madereva UDA wagoma tena
BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Madereva mabasi ya Uda wagoma
10 years ago
Habarileo17 Nov
UDA kunoa madereva, makondakta
KERO za makondakta ikiwemo matusi na lugha chafu kwa abiria, zimesababisha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kuamua kuanzisha chuo cha usafirishaji kitakachoitwa UDA Academy, kitakachotoa elimu kwa madereva na makondakta wake na wananchi watakaotaka kusomea fani ya usafirishaji.
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Madereva, makondakta wakorofi UDA kukiona
ABIRIA wa mabasi jijini Dar es Salaam, wameshauriwa kusaidia kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva na makondakta kwa kupiga simu zilizochapishwa katika mabasi yote ya...