UDA yatimua madereva 42
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limewafukuza kazi madereva wake 42 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa nidhamu. Makosa mengine yaliyosababisha wafukuzwe kazi ni, kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, kukatisha njia kinyume cha taratibu na kutoza nauli zisizo rasmi tofauti na zilizopo kwenye tiketi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Oct
Madereva UDA wagoma
MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Madereva mabasi ya Uda wagoma
10 years ago
Habarileo17 Nov
UDA kunoa madereva, makondakta
KERO za makondakta ikiwemo matusi na lugha chafu kwa abiria, zimesababisha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kuamua kuanzisha chuo cha usafirishaji kitakachoitwa UDA Academy, kitakachotoa elimu kwa madereva na makondakta wake na wananchi watakaotaka kusomea fani ya usafirishaji.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Madereva UDA wagoma tena
BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...
10 years ago
Habarileo18 Feb
Madereva wa UDA wapinga kuachishwa kazi
MADEREVA wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) wamelalamikia shirika hilo kuwapunguza kazini hivi karibuni bila kufuata utaratibu unaofaa, ikiwa ni pamoja na mchanganuo wa malipo yao.
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Madereva, makondakta wakorofi UDA kukiona
ABIRIA wa mabasi jijini Dar es Salaam, wameshauriwa kusaidia kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva na makondakta kwa kupiga simu zilizochapishwa katika mabasi yote ya...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Madereva, makondakta UDA wapigwa msasa
WAKAZI wa Dar es Salaam, wataanza kupata huduma zilizoboreshwa watakapotumia mabasi yanayomilikiwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) baada ya madereva na makondakta kupatiwa mafunzo ya mwezi mmoja....
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Uda kuwachunguza madereva, makondakta wake
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
UDA kuanzisha chuo cha madereva, makondakta
SEKTA ya usafirishaji nchini inatarajiwa kuingia katika mfumo mpya wa kisasa ambako madereva, makondakta pamoja na wahudumu wengine katika sekta hiyo kusomea fani hizo kabla ya kuingia katika ajira rasmi...