DAVID MOYES KUACHISHWA KAZI SIKU YOYOTE KUANZIA LEO
![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWldcALwdAOHUJ7V4HifM8umkI0pW2VNCmY3WRv-kMJ89x0IkymYqe2G7oj2RYMhwJ6UoseiAFziuyNihrDEgcG/manutd.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Man United, David Moyes. Vyombo vya habari vya Uingereza, likiwemo Mail on Sunday vimeripoti kuwa David Moyes ataachishwa kazi wiki chache zijazo na kwamba anaweza kuachiswa hata leo au kesho. Wamiliki wa timu hiyo, familia ya Glazer wanadaiwa kuishiwa uvumilivu kwa kocha huyo ambaye tangu aanze kuinoa imeendelea kufanya vibaya na sasa ikiwa nafasi ya saba kwenye msimamo wa Barclays Premier League. Siku ya jumapili...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
David Moyes afutwa kazi Real Sociedad
10 years ago
Bongo511 Nov
David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Rekodi ya David Moyes
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
David Moyes atimuliwa na Manchester U
10 years ago
Habarileo18 Feb
Madereva wa UDA wapinga kuachishwa kazi
MADEREVA wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) wamelalamikia shirika hilo kuwapunguza kazini hivi karibuni bila kufuata utaratibu unaofaa, ikiwa ni pamoja na mchanganuo wa malipo yao.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi
KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
9 years ago
Michuzi02 Dec
WAFANYAKAZI 600 WA TANZANITEONE KUACHISHWA KAZI
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/FUv-sx0ue7IePyNElS0LY3Dz7ahih4LKco5TQb5WN0ZYKoBxuFjumcIrWD6ARdAjF9dEpDODzeJpLP0k4M6Jk0CCo8_Jlyd8Ljv7C45gpEVauUGWQRKPaOlsHqQ_PclIJkG70Pg=s0-d-e1-ft#http://eps.mcgill.ca/~seg/old/images/activites/2006_tanzania/11_mineshaft.gif)
Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Iringa mjini, Meneja wa Kampuni hiyo, Apolinari Modest alisema kwa sasa uongozi wa kampuni hiyo tayari ulishafuata taratibu zote za kuachisha kazi...
9 years ago
StarTV10 Nov
David Moyes atupiwa virago Real Sociedad.
Kufuatia matokeo mbaya ya klabu ya Real Sociedad kwenye ligi kuu ya Hispania La liga , kocha David Moyes ametupiwa virago ikiwa ni siku moja aadhimishe mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo.
Moyes mwenye miaka 52 aliyechukua wadhifa huo Novemba 10 2014 na kuiwezesha timu ya Real Sociedad kushikam nafasi ya 12 msimu uliopita,mambo yamekuwa magumu msimu huu baada ya kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Las Palmas jumamosi iliyopita.
Mtandao wa klabu hiyo umesema kuwa umefikia uamuzi wa kusitisha ajira ya...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United
Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee
Na Mwandishi Wetu
MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.
Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...