Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya watu 600 watoa maoni juu ya utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa nchini

IMG_7241

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania  ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni  wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_7256

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akitoa maelezo kwa mwananchi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WATU 600 WATOA MAONI JUU YA UTENDAJI KAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI‏

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania. Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mafunzo juu ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa watu wenye Ulemavu-Ifakara Kilombero

SAM_0523

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na  Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya.

SAM_0515

Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB Wilaya ya Kilombero katika kuimba Wimbo wa Haki za Binadamu katika Mafunzo ya Siku Mbili yaliyowakutanisha...

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO JUU YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA KWA WATU WENYE ULEMAVU IFAKARA KILOMBERO‏

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wasioona (TLB) Mwalimu Greyson Mlanga(aliyesimama) akitoa somo juu ya Warsha ya Siku mbili ya Mkatabawa Umoja wa Mataifa Kwa Watu Wenye Ulemavu Mjini Ifakara hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Wilaya ya Kilombero Maria Faya na Kulia ni Mwalimu Janet Kalalu, Mratibu wa Chama Wilaya. Viongozi wa TLB Taifa Wakiungana na Viongozi wa TLB… ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umoja wa Mataifa katika utendaji wa elimu

MATAIFA yanayoendelea yanategemea kwa kiasi kikubwa kupata misaada kutoka taasisi za kimataifa ikiwemo Umoja wa Mataifa(UN), wamejikita kutoa misaada katika nyanja za afya, elimu na lishe.

Katika elimu UN inatoa msaada mkubwa kwa Serikali ya Tanzania kutoa elimu bora iliyo sawa kwa wote katika kila ngazi.

Utendaji kazi huu unalenga kukuza ubora wa elimu na katika jitihada zitakazomsaidia mwanafunzi nchini na kukuza ubora wa ufundishaji, kutoa fursa kwa makundi ya watu walio pembeni...

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA WATOA MWONGO DHIDI YA UWINDAJI HARAMU WA TEMBO AFRIKA


Na Mwandishi Maalu, New York
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na Madawa ya Kulevya na Uhalifu mwingine ( UNODC) Novemba 13 imetangaza mwongozo ambao utachangia katika juhudi zinazoendelea za kukabiliana na mauaji holela ya tembo na biashara haramu ya pembe za ndovu hususani Afrika.

UNODC imetoa mwongozo huo kwa kile inachosema, ni kuongezeka kwa biashara hiyo ambayo sasa makundi ya kihalifu yanajihusisha kwa kasi, jambo linalotishia kutoweka kabisa kwa mnyama huyo....

 

9 years ago

Habarileo

Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi

KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal

Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi

 

5 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia

Kuharibiwa kwa tani za mazao na nzige kunaweza kusababisha mzozo wa chakula , wasema Umoja wa Mataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani