Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA MATAIFA WATOA MWONGO DHIDI YA UWINDAJI HARAMU WA TEMBO AFRIKA


Na Mwandishi Maalu, New York
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na Madawa ya Kulevya na Uhalifu mwingine ( UNODC) Novemba 13 imetangaza mwongozo ambao utachangia katika juhudi zinazoendelea za kukabiliana na mauaji holela ya tembo na biashara haramu ya pembe za ndovu hususani Afrika.

UNODC imetoa mwongozo huo kwa kile inachosema, ni kuongezeka kwa biashara hiyo ambayo sasa makundi ya kihalifu yanajihusisha kwa kasi, jambo linalotishia kutoweka kabisa kwa mnyama huyo....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mbwa wanavyokabiliana na uwindaji haramu Afrika

Mbwa wenye uwezo wa kunusa na kubaini uhalifu wameweza kupelekea mamia ya wawindaji haramu kukamatwa na kubaini njia wanazotumia wawindaji hao haramu kutorosha wanyama.

 

9 years ago

Michuzi

WAMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS DKT MAGUFULI ACHUKUE HATUA DHIDI YA UJANGILI WA BIASHARA HARAMU YA MENO YA TEMBO.

Kiongozi wa kampeni ya Okoa Tembo wa Tanzania,Shubert Mwarabu akizungumza na Waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,kuhusiana na Barua yao ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli juu ya mauaji ya Tembo ambayo yamekuwa yakifanyika hapa nchini kwa kiwango kikubwa.Katika barua hiyo ya wazi,uongozi wa kampeni hiyo umetoa wito kwa Serikali kutekeleza ama kufanya yafuatayo1.kuwakamata na kuwashitaki wafanyabishara wakubwa wa meno ya Tembo nchini,bila kujali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia waandamana dhidi ya Umoja wa Mataifa-Juba

Raia wa Sudan Kusini wameandamana mjini Juba dhidi ya Umoja wa Mataifa wakiishutumu kwa kuwapa waasi silaha

 

10 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya watu 600 watoa maoni juu ya utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa nchini

IMG_7241

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania  ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni  wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_7256

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akitoa maelezo kwa mwananchi...

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WATU 600 WATOA MAONI JUU YA UTENDAJI KAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI‏

Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania. Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia

Kuharibiwa kwa tani za mazao na nzige kunaweza kusababisha mzozo wa chakula , wasema Umoja wa Mataifa.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yahudhuria mkutano wa tathmini ya Mkakati wa Umoja wa Mataifa dhidi ya ugaidi

Na Mwandishi Maalum, New York Wakati wajumbe wanaoshiriki mkutano wa tathmini kuhusu Mkakati wa Umoja wa Mataifa  dhidi ya ugaidi wakilaani matukio ya kigaidi yanayotekea katika nchi mbalimbali, baadhi ya wajumbe hao wametaka matukio hayo yasihusishwe na madhehebu ya dini iwayo yoyete ile.  Mkutano huo wa siku mbili umemalizika siku ya Ijumaa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI

Kifaru ni baadhi ya wanyamapori wanaotoweka kwa kasi duniani na hususani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na vitendo vya ujangili na biashara haramu za pembe zao. Jana Alhamisi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja Azimio linalolenga kudhibiti Biashara haramu ya wanyama pori na maliasili nyingine
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...

 

11 years ago

Habarileo

Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa

SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani