Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa wanavyokabiliana na uwindaji haramu Afrika

Mbwa wenye uwezo wa kunusa na kubaini uhalifu wameweza kupelekea mamia ya wawindaji haramu kukamatwa na kubaini njia wanazotumia wawindaji hao haramu kutorosha wanyama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA WATOA MWONGO DHIDI YA UWINDAJI HARAMU WA TEMBO AFRIKA


Na Mwandishi Maalu, New York
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na Madawa ya Kulevya na Uhalifu mwingine ( UNODC) Novemba 13 imetangaza mwongozo ambao utachangia katika juhudi zinazoendelea za kukabiliana na mauaji holela ya tembo na biashara haramu ya pembe za ndovu hususani Afrika.

UNODC imetoa mwongozo huo kwa kile inachosema, ni kuongezeka kwa biashara hiyo ambayo sasa makundi ya kihalifu yanajihusisha kwa kasi, jambo linalotishia kutoweka kabisa kwa mnyama huyo....

 

11 years ago

BBCSwahili

Magaidi wajifaidisha na uwindaji haramu

Magaidi na wanamgambo wamekuwa wakifaidi kutokana na uwindaji haramu pamoja na uharibifu wa mazingira

 

11 years ago

Mwananchi

Msigwa aonyesha video ya uwindaji haramu

>Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa ameonyesha video inayobainisha namna baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya ujangili.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Video ya uwindaji haramu iitoe Serikali usingizini

>Video kuhusu uwindaji haramu hapa nchini iliyoonyeshwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa itakuwa imewashtua wengi. Video hiyo inaonyesha pasipo kuacha shaka jinsi baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya vitendo vya ujangili.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'




Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Suleiman 'Suleiman Nchambi'.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyawapori kinyume...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuzuia maambukizi ya Covid 19 ni hatia kutembesha mbwa Afrika Kusini

Waziri wa afya Zweli Mkhize awali Jumatano alisema kuwa watu wangeruhusiwa kukimbia na kutembea na mbwa wao, mradi wangefanya kwa uwajibikaji

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

5 years ago

BBCSwahili

BBC Africa Eye: Biashara haramu ya miti ya mwaridi Afrika Magharibi

Kwa mwaka mzima BBC Africa Eye imefanya uchunguzi wa biashara ya mamilioni ya dola ya usafirishaji wa miti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani