Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa

SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wataka uwindaji wa kitalii kuzuiwa

Mawakala wa biashara ya kusafirisha watalii (Tour operators), wameiomba Serikali kupiga marufuku kwa muda uwindaji wa kitalii kama njia ya kukabiliana na uwindaji haramu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali iangalie upya ‘Uwindaji wa Kitalii’

Tumeridhishwa na kasi aliyoanza nayo Waziri mpya wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo mapema wiki hii.

 

10 years ago

Habarileo

Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Nyalandu atembelea Idara ya Uwindaji wa Kitalii Arusha

 Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini ,wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo ,Lazaro Nyalandu leo kwenye ziara yake mkoani Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na Askari Wanyama Pori  jijini Arusha leo. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa  Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA WATOA MWONGO DHIDI YA UWINDAJI HARAMU WA TEMBO AFRIKA


Na Mwandishi Maalu, New York
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na Madawa ya Kulevya na Uhalifu mwingine ( UNODC) Novemba 13 imetangaza mwongozo ambao utachangia katika juhudi zinazoendelea za kukabiliana na mauaji holela ya tembo na biashara haramu ya pembe za ndovu hususani Afrika.

UNODC imetoa mwongozo huo kwa kile inachosema, ni kuongezeka kwa biashara hiyo ambayo sasa makundi ya kihalifu yanajihusisha kwa kasi, jambo linalotishia kutoweka kabisa kwa mnyama huyo....

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanasoka wa nje kupunguzwa England

Shirikisho la soka nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gharama ya kupiga simu kupunguzwa

Watuamiaji wa simu za mkononi nchini Kenya,Rwanda na Uganda hivi karibuni watakuwa wakipiga simu kwa bei nafuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani