Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nyalandu atembelea Idara ya Uwindaji wa Kitalii Arusha

 Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini ,wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo ,Lazaro Nyalandu leo kwenye ziara yake mkoani Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na Askari Wanyama Pori  jijini Arusha leo. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa  Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akishuka kwenye gari alipowasili ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Arusha(TANAPA).Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha(ANAPA) Betrita Loibook akimuonesha Waziri Nyalandu mfano wa mtambo wa kufua umeme unaotazamiwa kuwekwa katika hifadhi hiyo.Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Arusha(TANAPA) Betrita Loibook akitoa taarifa ya Hifadhi hiyo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu.kwa picha zaidi bofya soma zaidiWaziri Nyalandu akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka uwindaji wa kitalii kuzuiwa

Mawakala wa biashara ya kusafirisha watalii (Tour operators), wameiomba Serikali kupiga marufuku kwa muda uwindaji wa kitalii kama njia ya kukabiliana na uwindaji haramu nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa

SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali iangalie upya ‘Uwindaji wa Kitalii’

Tumeridhishwa na kasi aliyoanza nayo Waziri mpya wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo mapema wiki hii.

 

10 years ago

Habarileo

Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AWANG'OA VIGOGO IDARA YA WANYAMAPORI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo ametangaza kuwang'oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori akieleza kuwa ni kutokana na kutoridhishwa na utendaji wao. 

Ifuatayo ni Taarifa rasmi ya tamko la Waziri Nyalndu,  kama alivyolisoma leo:
Leo, TAREHE 24 Februari, 2014 Natangaza kuubadili uongozi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya maliasili na Utalii kama ifuatavyo: 
Ninamuondoa Profesa Alexander Songorwa katika nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA IDARA YA HUDUMA ZA TEHAMA-UTUMISHI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama).Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na...

 

10 years ago

GPL

NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)

Baadhi ya watendaji wa TANAPA,wakimsikiliza Waziri Nyalandu alipotembelea hifadhi ya taifa ya Arusha.toka kulia ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA ,Paschal Shelutete,Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufungulo na Betrita Loibook ,Mhifadhi Mkuu Arusha National Park. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mhifadhi Mkuu Arusha… ...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (ANAPA)

Baadhi ya watendaji wa TANAPA,wakimsikiliza Waziri Nyalandu alipotembelea hifadhi ya taifa ya Arusha.toka kulia ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA ,Paschal Shelutete,Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufungulo na Betrita Loibook ,Mhifadhi Mkuu Arusha National Park. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiteta jambo na Mhifadhi Mkuu Arusha National Park,Betrita Loibook.Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza na Mbunge wa jimbo la Arumeru...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani