Wataka uwindaji wa kitalii kuzuiwa
Mawakala wa biashara ya kusafirisha watalii (Tour operators), wameiomba Serikali kupiga marufuku kwa muda uwindaji wa kitalii kama njia ya kukabiliana na uwindaji haramu nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Jun
Uwindaji wa kitalii wa tembo kupunguzwa
SERIKALI imeamua kuanzia Julai mwaka huu kupunguza uwindaji wa kitalii wa tembo kwa asilimia 50 ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza upotevu wa idadi ya Tembo nchini.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Serikali iangalie upya ‘Uwindaji wa Kitalii’
10 years ago
Habarileo29 Jan
Vitalu vya uwindaji wa kitalii mwisho 2018
MAMLAKA ya wanyamapori nchini inatarajia kusitisha umiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, ifikapo mwaka 2018, jambo litakalosaidia mamlaka hiyo kumiliki mapori yote ya akiba na kuwa na uwezo wa kubadilisha sera ya matumizi ya mapori hayo.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4oy2FSO8Gzs/U7blshbLEHI/AAAAAAAFvAs/SB84DfygJeM/s72-c/unnamed+(29).jpg)
Waziri Nyalandu atembelea Idara ya Uwindaji wa Kitalii Arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-4oy2FSO8Gzs/U7blshbLEHI/AAAAAAAFvAs/SB84DfygJeM/s1600/unnamed+(29).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tn5TU1NME6I/U7bltHae8kI/AAAAAAAFvBM/tmPJ56P6nPM/s1600/unnamed+(30).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--_kf4vHwNi4/U7bltO_LK2I/AAAAAAAFvAw/b0FSG1DYbVU/s1600/unnamed+(31).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWEffiYCaxI/U7blt6YA9AI/AAAAAAAFvA0/dIhls-G3fUM/s1600/unnamed+(32).jpg)
9 years ago
Habarileo18 Oct
Vibali vya uwindaji vyasitishwa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.
11 years ago
Habarileo07 Jul
Msigwa: Kampuni za uwindaji zichunguzwe
WAZIRI Kivuli wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, ametaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina dhidi ya kampuni zote za uwindaji, kubaini matukio ya ukiukwaji wa sheria za wanyamapori, unaosababisha taifa kupata sifa mbaya.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Magaidi wajifaidisha na uwindaji haramu
10 years ago
Mtanzania13 May
Siri ya Mbowe Kuzuiwa
Na Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, jana Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, alizuiwa kumaliza kusoma hotuba yake ambayo ndani yake ilikuwa ikiwalipua vigogo waliohusika na uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza kilichojificha ndani ya kashfa ya mtambo wa kufua umeme wa Dowans na Richmond.
Amesema suala hilo la Dowans na Richmond, lilichochewa na makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , na sasa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mbwa wanavyokabiliana na uwindaji haramu Afrika
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10