Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri ya Mbowe Kuzuiwa

mboweNa Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, jana Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, alizuiwa kumaliza kusoma hotuba yake ambayo ndani yake ilikuwa ikiwalipua vigogo waliohusika na uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza kilichojificha ndani ya kashfa ya mtambo wa kufua umeme wa Dowans na Richmond.
Amesema suala hilo la Dowans na Richmond, lilichochewa na makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , na sasa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Mbowe, Kinana wakutana kwa siri Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe

AZIZA MASOUD NA AGATHA CHARLES

IMEDHIHIRIKA kuwa viongozi waandamizi wa vyama vikubwa vya siasa vilivyo na uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba, wanapanga njama za kulivunja bunge hilo baada ya kushindwa kufikia maridhiano ya muundo wa serikali.

Kuvuja kwa taarifa hizi kumekuja ikiwa ni siku chache baada ya kufanyika vikao kadhaa vilivyowashirikisha viongozi wa vyama vikilenga kutafuta maridhiano ya muundo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HII ILIANDIKWA MWAKA 2011 KUHUSU UHUSIANO WA LOWASSA NA FREEMAN MBOWE NA MAZUNGUMUZO YAO YA SIRI YALIVYONASWA

Na Mwandishi wetu, Gazeti la Sauti Huru

Mmoja kati ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi(jina tunalihifadhi kwa sasa) anadaiwa kuwa kwenye mazungumzo ya siri na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Freeman Mbowe ili kuingia ubia na chama hicho.

Inaelezwa kuwa ,lengo la kigogo huyo ni kukiziba mdomo chama hicho kisimrushie makombora ya ufisadi kama walivyowahi kumrushia siku za nyuma.

Uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka uwindaji wa kitalii kuzuiwa

Mawakala wa biashara ya kusafirisha watalii (Tour operators), wameiomba Serikali kupiga marufuku kwa muda uwindaji wa kitalii kama njia ya kukabiliana na uwindaji haramu nchini.

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

AS Cannes yalia Kapombe kuzuiwa na Azam FC

Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa. Na Martha Mboma
KLABU ya AS Cannes ya Ufaransa imelalamika kwamba beki wake Shomari Kapombe amekuwa akishawishiwa kuvunja mkataba na klabu ya Azam ya nchini. AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, imesema Kapombe ameshindwa kurejea nchini humo huku akisisitiza anataka kuvunja mkataba na wao wanaamini hiyo ni janja ya Azam FC.
Ofisa wao ambaye hujitambulisha kwa jina la Pierre...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magari ya kibinafsi kuzuiwa kuingia Delhi

Wasimamizi wa mji mkuu wa India, Delhi wameanza kuzuia baadhi ya magari ya kibinafsi kuingia mjini ili kupunguza uchafuzi wa hewa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodi yalaani TV kuzuiwa Yanga vs Ashanti

SIKU moja baada ya uongozi wa Azam TV kuwazuia waandishi wa habari wa runinga kupiga picha katika mechi ya Yanga na Ashanti United, Bodi ya Ligi imelaani kitendo hicho. Katika...

 

11 years ago

GPL

DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU

Stori: IMELDA MTEMA
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake. Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina. Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kabla hajaingia kwenye ndoa yake ya sasa, alizaa mtoto mmoja na mwanaume ambaye ni dairekta mkubwa wa filamu nchini lakini mwanaume...

 

11 years ago

Habarileo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani