Magari ya kibinafsi kuzuiwa kuingia Delhi
Wasimamizi wa mji mkuu wa India, Delhi wameanza kuzuia baadhi ya magari ya kibinafsi kuingia mjini ili kupunguza uchafuzi wa hewa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKAMATI YA BODABODA DAR YATOA TAMKO KUZUIWA KUINGIA MJINI
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Sitta apinga magari ya Tanzania kuzuiwa Kenya
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ameshtushwa na hatua ya Serikali ya Kenya kuyazuia magari yenye namba za usajili za Tanzania kuingia katika eneo la maegesho ya magari katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata na kuweka wazi kuwa ni hatua isiyokubalika.
Akizungumza kwa njia ya simu na MTANZANIA jana, Sitta alisema hatarajii kama hatua hizo zina baraka za uongozi wa Serikali ya Kenya, huku akiwatupia lawama watendaji wa ngazi za chini nchini...
10 years ago
Habarileo11 Jan
Magari 150 Tanzania yazuiwa kuingia Kenya
MAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya yamezuiliwa kuingia katika uwanja huo toka Desemba 22 mwaka jana.
10 years ago
Habarileo18 Jan
Magari ya Tanzania ruksa kuingia Jomo Kenyatta
SERIKALI za Tanzania na Kenya zimekubaliana kwa pamoja kuondoa zuio la magari ya watalii na wageni kuingia katika viwanja vya ndege vya nchi hizo mbili kuanzia juzi.
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/ct9EeL1YJLU/default.jpg)
10 years ago
Bongo502 Mar
Bingwa wa mashindano ya magari ya Formula One Lewis Hamilton kuingia kwenye muziki
10 years ago
Vijimambo22 Mar
MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA: WAZIRI MEMBE
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42