MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA: WAZIRI MEMBE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Wengine katika picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Rajabu Gamaha (kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42
10 years ago
Habarileo18 Jan
Magari ya Tanzania ruksa kuingia Jomo Kenyatta
SERIKALI za Tanzania na Kenya zimekubaliana kwa pamoja kuondoa zuio la magari ya watalii na wageni kuingia katika viwanja vya ndege vya nchi hizo mbili kuanzia juzi.
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Zuio:Magari ya Tanzania Jomo Kenyatta
10 years ago
GPLTAHARUKI YA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA, KENYA
9 years ago
GPLJK AKUTANA NA UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA MZEE JOMO KENYATTA
9 years ago
GPLRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA
11 years ago
The Standard Digital News13 Mar
Four Tanzanian women found at Jomo Kenyatta International Airport with ...
Four Tanzanian women found at Jomo Kenyatta International Airport with ...
The Standard Digital News
Kenya: Four Tanzanians were Wednesday evening arrested at the Jomo Kenyatta International Airport, Nairobi while trying to fly out with drugs believed to be cocaine. The four who include one man had arrived at the airport and wanted to fly to Hong Kong ...
10 years ago
Habarileo11 Jan
Magari 150 Tanzania yazuiwa kuingia Kenya
MAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya yamezuiliwa kuingia katika uwanja huo toka Desemba 22 mwaka jana.