Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari 150 Tanzania yazuiwa kuingia Kenya

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya yamezuiliwa kuingia katika uwanja huo toka Desemba 22 mwaka jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya  Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri MembeSehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara  ya Mambo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Migomba ya Msumbiji yazuiwa kuingia nchini

SERIKALI imepiga marufuku uingizaji wa mbegu za migomba kutoka nchini Msumbiji baada ya kuripotiwa nchi hiyo kukumbwa na ugonjwa hatari wa migomba ujulikanao kama mnyauko fuzari.

 

10 years ago

Habarileo

Magari ya Tanzania ruksa kuingia Jomo Kenyatta

Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Biashara na Utalii wa Kenya, Phyllis Kandie SERIKALI za Tanzania na Kenya zimekubaliana kwa pamoja kuondoa zuio la magari ya watalii na wageni kuingia katika viwanja vya ndege vya nchi hizo mbili kuanzia juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA: WAZIRI MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Wengine katika picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Rajabu Gamaha (kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Nzige waripotiwa kuingia Tanzania na Uganda kutoka Kenya

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania Anna Mgwira amethibitisha kuonekana kwa kundi la nzige katika baadhi ya vijiji vya Moshi.

 

10 years ago

Habarileo

Mazungumzo magari ya Tanzania, Kenya yavunjika

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.MAZUNGUMZO ya Watendaji na Mawaziri wa Tanzania na Kenya kuhusu kuzuiwa kwa magari ya kitalii ya Tanzania kuingia katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, yamevunjika.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta apinga magari ya Tanzania kuzuiwa Kenya

NA samwel-sittaABRAHAM GWANDU, ARUSHA
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ameshtushwa na hatua ya Serikali ya Kenya kuyazuia magari yenye namba za usajili za Tanzania kuingia katika eneo la maegesho ya magari katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata na kuweka wazi kuwa ni hatua isiyokubalika.
Akizungumza kwa njia ya simu na MTANZANIA jana, Sitta alisema hatarajii kama hatua hizo zina baraka za uongozi wa Serikali ya Kenya, huku akiwatupia lawama watendaji wa ngazi za chini nchini...

 

10 years ago

Michuzi

Mwakyembe azungumzia Kenya Kuzuia Magari ya Tanzania

Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya swala la serikali ya Kenya kuzuia magari ya kitalii ya yaliyosajiliwa nchini Tanzania kuingia kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.Kulia ni Naibu Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki,Dkt Abdallah Juma Saadala na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Joyce Mapunjo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani