Mwakyembe azungumzia Kenya Kuzuia Magari ya Tanzania
![](http://4.bp.blogspot.com/-oJ-Wp7ooyeg/VNofehXY64I/AAAAAAAHC20/dizl26-m_z4/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya swala la serikali ya Kenya kuzuia magari ya kitalii ya yaliyosajiliwa nchini Tanzania kuingia kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.Kulia ni Naibu Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki,Dkt Abdallah Juma Saadala na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Joyce Mapunjo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Mwakyembe achukua fomu, azungumzia Richmond
10 years ago
Habarileo21 Mar
Mazungumzo magari ya Tanzania, Kenya yavunjika
MAZUNGUMZO ya Watendaji na Mawaziri wa Tanzania na Kenya kuhusu kuzuiwa kwa magari ya kitalii ya Tanzania kuingia katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, yamevunjika.
10 years ago
Habarileo11 Jan
Magari 150 Tanzania yazuiwa kuingia Kenya
MAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya yamezuiliwa kuingia katika uwanja huo toka Desemba 22 mwaka jana.
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Sitta apinga magari ya Tanzania kuzuiwa Kenya
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ameshtushwa na hatua ya Serikali ya Kenya kuyazuia magari yenye namba za usajili za Tanzania kuingia katika eneo la maegesho ya magari katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata na kuweka wazi kuwa ni hatua isiyokubalika.
Akizungumza kwa njia ya simu na MTANZANIA jana, Sitta alisema hatarajii kama hatua hizo zina baraka za uongozi wa Serikali ya Kenya, huku akiwatupia lawama watendaji wa ngazi za chini nchini...
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/ct9EeL1YJLU/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hkYXBZ7-K-A/VLv0nBRD3_I/AAAAAAAAsa0/mPnUyqwN4iU/s72-c/LAZAROZ.jpg)
SERIKALI YA KENYA YAKUBALI KUYARUHUSU MAGARI YA ABIRIA NA WATALII KUTOKA TANZANIA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-hkYXBZ7-K-A/VLv0nBRD3_I/AAAAAAAAsa0/mPnUyqwN4iU/s1600/LAZAROZ.jpg)
Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania.
Marufuku hiyo ya Kenya kwa magari ya Tanzania, ilidumu kwa zaidi ya wiki mbili, ambapo katika kusaka suluhu hiyo...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Dk Mwakyembe: Hatutazuia magari ya kitalii toka nchi jirani
9 years ago
Mwananchi13 Sep
TEKNOLOJIA :Magari ya kifahari yanayotumiwa na polisi kuzuia uhalifu
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42