Mwakyembe achukua fomu, azungumzia Richmond
Dodoma. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais, huku akisema hana chuki na mtu yeyote kwa sababu sakata la Richmond halikuwa la kwake bali ni la Bunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mwakyembe: Lowassa ndiye Richmond
MJUMBE wa timu ya kampeni ya CCM, Dk Harrison Mwakyembe, amesema sakata la kashfa ya Richmond, haliwezi kuachwa kuzungumzwa na wanaCCM kwa kuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameanza kusingizia watu wengine kuhusika na kashfa hiyo, jambo ambalo alisema haliwezi kuachwa lipotee bila kujibiwa.
10 years ago
StarTV29 Aug
Unajua alichokisema Mwakyembe kuhusu Richmond

Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli katika viwanja vya Luandanzovwe jijini Mbeya, jana.
Akizungumzia madai ya kwa nini baadhi ya wahusika hawakupelekwa mahakamani kama kuna ushahidi, mhadhiri huyo wa sheria alisema kosa la...
10 years ago
Habarileo20 Jun
Dk Mwakyembe aibua zogo jipya Richmond
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe ameibua mapya wakati akichukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinzudi (CCM).
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mwakyembe azungumzia Kenya Kuzuia Magari ya Tanzania
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
Mwakyembe Akana kutumia Richmond Kumchafua Lowassa...... Umoja wa Ulaya nao wakana kuhusika Kumchafua

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameibuka na kusema hajawahi kumshambulia kwenye mitandao Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhusu sakata la Richmond.Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe imekuja siku chache baada ya kusambazwa kwa waraka unaodaiwa kuandikwa naye, ukimuhusisha na tuhuma za kumshambulia Lowassa, jambo ambalo amelifananisha kuwa ni sawa na siasa za kitoto.
Akizungumza jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha redio Clouds FM,...
10 years ago
Vijimambo
Mwakyembe Amshambulia LOWASSA Kuhusu Sakata la Richmond Mwigulu Nchemba naye Adai Lowassa Ni Mpiga Dili Tangu Kijana

Mwakyembe Akihutibia UmatiAliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa walijiridhisha pasipo shaka kuhusika kwa Edward Lowassa katika sakata la Richmond na kwamba hawakumsingizia kama anavyojitetea hivi sasa.Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John...
10 years ago
Vijimambo
Dk Magufuli achukua fomu kimyakimya

10 years ago
Vijimambo
DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

10 years ago
GPL
KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE