Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Mwakyembe aibua zogo jipya Richmond

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, dk. Harrison Mwakyembe akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake (CCM) kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. (Picha na Fadhili Akida)WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe ameibua mapya wakati akichukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinzudi (CCM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dk Mwakyembe aibua zogo jipya

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, dk. Harrison Mwakyembe akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake (CCM) kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. (Picha na Fadhili Akida)WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe ameibua mapya wakati akichukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinzudi (CCM).

 

9 years ago

Habarileo

Mwakyembe: Lowassa ndiye Richmond

MJUMBE wa timu ya kampeni ya CCM, Dk Harrison Mwakyembe, amesema sakata la kashfa ya Richmond, haliwezi kuachwa kuzungumzwa na wanaCCM kwa kuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameanza kusingizia watu wengine kuhusika na kashfa hiyo, jambo ambalo alisema haliwezi kuachwa lipotee bila kujibiwa.

 

9 years ago

StarTV

Unajua alichokisema Mwakyembe kuhusu Richmond

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge, iliyochunguza sakata la upewaji zabuni ya mabilioni ya kufua umeme kwa kampuni ya Richmond, Dk Harrison Mwakyembe ameibua upya suala hilo.

Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli katika viwanja vya Luandanzovwe jijini Mbeya, jana.

Akizungumzia madai ya kwa nini baadhi ya wahusika hawakupelekwa mahakamani kama kuna ushahidi, mhadhiri huyo wa sheria alisema kosa la...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakyembe achukua fomu, azungumzia Richmond

Dodoma. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais, huku akisema hana chuki na mtu yeyote kwa sababu sakata la Richmond halikuwa la kwake bali ni la Bunge.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwakyembe Akana kutumia Richmond Kumchafua Lowassa...... Umoja wa Ulaya nao wakana kuhusika Kumchafua


WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameibuka na kusema hajawahi kumshambulia kwenye mitandao Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhusu sakata la Richmond.Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe imekuja siku chache baada ya kusambazwa kwa waraka unaodaiwa kuandikwa naye, ukimuhusisha na tuhuma za kumshambulia Lowassa, jambo ambalo amelifananisha kuwa ni sawa na siasa za kitoto.
Akizungumza jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha redio Clouds FM,...

 

9 years ago

Vijimambo

Mwakyembe Amshambulia LOWASSA Kuhusu Sakata la Richmond Mwigulu Nchemba naye Adai Lowassa Ni Mpiga Dili Tangu Kijana


Mwakyembe Akihutibia UmatiAliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa walijiridhisha pasipo shaka kuhusika kwa Edward Lowassa katika sakata la Richmond na kwamba hawakumsingizia kama anavyojitetea hivi sasa.Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zogo Mwanza

WATU kadhaa wamejeruhiwa na baadhi ya magari yameharibiwa baada ya kuzuka kwa mapambano makali baina ya polisi na wafanyabiashara ndogondogo, maarufu kama machinga. Mapambano hayo yaliyochukua zaidi ya saa sita,...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Malaika — Zogo

Malaika-LOVE

Malaika ni moja ya wasanii warembo wa kike ameachia video mpya wimbo unaitwa “Zogo” video imeongozwa na Hanscana

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani