Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Mwakyembe: Hatutazuia magari ya kitalii toka nchi jirani

Waziri Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Dk Harison Mwakyembe amesema Tanzania haitazuia magari ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki au Nchi nyingine kuingia katika viwanja vyake vya ndege kuleta au kuchukua Watalii wanaopitia katika viwanja hivyo na kwenda katika nchi zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Serikali yadhamiria kuboresha huduma kwa nchi jirani-Mwakyembe

Na Mwandishi wetu, Pwani Serikali imesema imedhamiria kukabiliana kwa vitendo na changamoto ya kutotumia fursa na nafasi ya kijiografia ya nchi ya Tanzania na kuifanya kuwa shindani na hivyo kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema jana mkoani Pwani kuwa hakuna sababu inayoifanya Tanzania isiwe taifa shindani kibiashara katika ukanda huu wa Afrika kutokana na nafasi yake kijiografia miongoni mwa sababu nyingine.
Katika kuonyesha...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA: WAZIRI MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Wengine katika picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Rajabu Gamaha (kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha...

 

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YAPULIZA DAWA HOTELI ZA KITALII KUDHIBITI CORONA KWA KUTUMIA MAGARI YA ZIMAMOTO

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupambana vikali kuthibiti kuenea kwa virusi vya COVID 19 (Corona) kwa kupuliza dawa katika hotel za kitalii zilizopo katika Halmashauri hiyo.

Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati uliowekwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Daniel Chongolo, Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, Mstahiki Meya Benjamini Sitta, pamoja na Mganga mkuu Samweli Laizar kwa pamoja, katika kuhakikisha kuwa maambukizi ya Virus hivyo hayasambai kwa wananchi na hivyo wanaendelea kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya  Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri MembeSehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara  ya Mambo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Maziwa kutoka nchi jirani yalalamikiwa

CHAMA cha Wafugaji wa Ng’ombe wa Maziwa (TDCU) kinakusudia kumwandikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupinga uingizwaji holela wa maziwa yaliyosindikwa kutoka nchi jirani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lashambulia nchi Jirani

Kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria limeshambulia mji mmoja nchini Niger

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Wanafunzi walipelekwa nchi jirani

Baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram, wanaaminika kupelekwa katika nchi jirani za Cameroon na Chad na kuolewa na wapiganaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani