Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kufanyia kazi nyumbani kutokana na corona
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka wafanyakazi wa umoja huo kufanyia kazi nyumbani kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na hatari ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 (corona).
Kwa mujibu wa taarifa, siku ya Ijumaa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuanzia 16 Machi hadi 12 Aprili wafanyakazi wa makao makuu ya umoja huo mjini New York watafanyia kazi zao nyumbani isipokuwa tu wale ambao ni dharura wafike ofisini.
Tangazo hilo limetolewa baada ya mwanadiplomasia wa Ufilipino...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Je corona itatulazimisha kufanyia kazi nyumbani daima?
9 years ago
StarTV02 Dec
Wafanyakazi 635 Tanzanite One kupunguzwa kazi kutokana na kupungua kwa uzalishaji
Wafanyakazi mia sita thelathini na tano wa Mgodi wa Tanzanite One wanaofanya kazi katika machimbo ya Tanzanite Mirerani Simanjiro wanatarajiwa kupunguzwa kazini kutokana na hali ya uzalishaji ya kampuni hiyo kutoridhisha.
Uamuzi wa kupunguza wafanyakazi hao umefikiwa na uongozi wa mgodi huo kwa madai kwamba ni kudorora kwa hali ya kifedha kwa kampuni hiyo kunakosababishwa na hali ya uzalishaji wa madini.
Akitolea ufafanuzi mchakato wa zoezi hilo katika eneo la mgodi huo wa Tanzanite...
9 years ago
VijimamboJK KUELEZEA UMOJA WA MATAIFA MAENDELEO YA KAZI YA JOPO ANALOLIONGOZA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, anatarajiwa Ijumaa wiki hii, kueleza mbele ya wajumbe wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya kazi ya jopo hilo tangu kuundwa kwake.
Jopo la Ngazi ya juu kuhusu mwitiko wa Kimataifa wa majanga ya kiafya liliundwa mwezi wa nne mwaka huu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ambapo Rais Kikwete...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Umoja wa Mataifa waonya juu ya baa la njaa la 'Kibiblia'
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Zaidi ya watu 600 watoa maoni juu ya utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa nchini
Pichani ni muonekano wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania ndani ya Karume Hall katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, ndani ya viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Pichani ni wananchi wakitembelea banda hilo na kupata taarifa mbalimbali za shughuli za Umoja huo nchini Tanzania.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akitoa maelezo kwa mwananchi...
10 years ago
GPLZAIDI YA WATU 600 WATOA MAONI JUU YA UTENDAJI KAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
UNIC washiriki Alhamisi ya burudani na TEYODEN kwa madhumuni ya kutoa elimu ya kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa
Afisa habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi Stella Vuzo akitoa mada kuu iliyokuwa inahusu malengo ya maendeleo ya milenia na kuangalia yamefikia wapi kwenye malengo hayo pamoja na kuwaelimisha kuhusu maendeleo endelevu baada ya mwaka 2015(Post 2015 Sustainable Development) iliyotolewa kwa Mtandao wa vijana wa Temeke(TEYODEN).
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) jana Alhamisi kiliandaa burudani kwa ajili ya kujifunza kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa ambapo kila Alhamis ya...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA W MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU