Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi 10 wa TANESCO wasimamishwa kazi kwa Madai Ya Upotevu Wa Fedha

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewasimaisha kazi wafanyakazi wake 10 baada ya kubainika kuhusika na wizi wa umeme kwenye mfumo wa mita kwenye minara ya simu uliosababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shingili Milioni 100.

Miongoni mwa wafanyakazi hao ni pamoja na mafundi, wahasibu na wahandisi umeme ambao wanadaiwa kushirikiana na wateja kuhujumu shirika hilo kwa kupokea rushwa na kisha kusambaza umeme unaotumika bila kulipwa.

Desemba 14, mwaka huu Shirika hili lilitangaza kupata...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI 35 WASIMAMISHWA KAZI TRA,KAMPUNI 43 ZABAINIKA KUKWEPA KODI.

Kaimu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano na Kaimu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip                                               Mpango jijini Dar es Salam leo.
Na ChalilaKibuda,Globu ya Jamii
BAADA ya Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kufanya ziara ya kushitukiza katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubaini...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI SABA WA TPA MBARONI KWA UPOTEVU WA MAKONTENA MPYA 11,884 NA MAGARI 2,019... WANANE WATOROKA

Waziri wa Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa. Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiBAADA ya  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kufanya ziara  katika Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) na kubaini uondoshwaji wa wa kontena 329   bila kulipiwa kodi zaidi ya sh.bilioni 12,  Mawakala wa Forodha walifanya ukaguzi  kuona kama kuna upotevu wa mapato  na kubaini jumla ya kontena 11,884 na magari 2019 yalitolewa bila malipo.Makontena hayo yalitolewa katika bandari kavu ni MOFED 61, DICD 491,...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi

Bukoba.Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za  kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja.

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WANAIONA RUSHWA KAMA UPOTEVU WA FEDHA ZAO

wangependa Rais achukue hatua
Lakini ni wachache tu wanaounga mkono adhabu kali kwa viongozi wala rushwa

24 Februari 2015, Dar es Salaam: Wananchi saba kati ya kumi (69%) wanasema rushwa zilizoripotiwa kwenye ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni upotevu wa fedha zao (za umma). Zaidi ya nusu ya wananchi (55%) wanaamini kuwa aina hii ya rushwa inagusa sana maisha ya yao ya kila siku, na watatu kati ya kumi (31%) wangependa kutaarifiwa kuhusu matokeo ya...

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma

rebeccaRamadhan Hassan, Dodoma

SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.

“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewasimamisha kazi kwa mda mawaziri wake wanne pamoja na maafisa wengine 12

 

9 years ago

BBCSwahili

Sepp Blatter na Platini wasimamishwa kazi

Shirikisho la soka duniani Fifa limemsimamisha kazi kwa mda rais wake Sepp Blatter ,katibu wake Jerome Valcke na makamu wa rais Michel Platini kwa siku tisini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani